Kocha Yanga Anahitaji kuongezewa Nguvu

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
“Tunakwenda kushindana kwenye hatua ya makundi, kama kweli tunahitaji kumaliza vizuri tunahitaji nyongeza kidogo ya Wachezaji, sifahamu kama inawezekana kwa klabu kwasasa ila kupambana na timu kubwa tunahitaji maboresho kidogo”

- Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamo

 
MATATIZO ya yanga ni kwenye eneo la

1. Kiungo WA CHINI.
Eneo la Bangala.
Aucho ARUDI kwenye No 8

2. TATIZO LINGINE ni Eneo la ushambuliaji.
Konkon0.0.0
Mzinze 2/10.
Ngushi 0.0.000
KENEDY. 2/10
 
Shida ya Yanga mpaka sasa ni kukosa mshambuliaji wa kati mzuri kumshinda Fiston Mayele.

Mzize ni bull striker, lakini anahitaji muda zaidi wa kuimarika. Kennedy Musonda ni mzuri akitokea pembeni. Na Hafiz Konkoni (mbadala wa Mayele) mpaka sasa bado hajaingia kwenye mfumo wa timu!!

Kuna muda huwa nawaza; kwa kikosi hiki cha msimu huu angekuwepo Mayele! Hivi kuna timu ingetusumbua kweli ndani ya hili Bara la Afrika!!
 
Usajili wa dirisha dogo kwa ajili ya mechi za makundi ya cafcl ni lini ?
 
Haja fit Kwenye mfumo wa Gamondi , mfumo unataka wachezaji wepesi wenye kujua kukimbiza na foot work nzuri aina ya max , Pacome , skudu , Yao nk
Tunampa muda au tunamuachaaa?
 
Naunga mkono hoja
 
MATATIZO ya yanga ni kwenye eneo la

1. Kiungo WA CHINI.
Eneo la Bangala.
Aucho ARUDI kwenye No 8

2. TATIZO LINGINE ni Eneo la ushambuliaji.
Konkon0.0.0
Mzinze 2/10.
Ngushi 0.0.000
KENEDY. 2/10
Ushauri mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…