ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Bila media wasinge fika final CAFNguvu kubwa inatumika NA YANGA ktk Media
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila media wasinge fika final CAFNguvu kubwa inatumika NA YANGA ktk Media
we jamaa hii pwenti yako ta mawinga inanichekeshaga sanaPamoja na kuwa Mimi ninaipenda Simba.
Yanga kwa sasa Wanatimu nzuri mno.
Huu Mwaka WA Tatu Timu Yao INAZIDI kuwa IMARA KILA SIKU .
NA WANAZIDI KUTIMIA.
Sababu
1. VIONGOZI wazuri wenye Maoni UBUNIFU akili na maarifa Mwenyekiti Herse Said makamu CEO nk.
2. Timu nzuri kuanzia Wachezaji wazuri.
Wametimia Kila IDARA.
3. Benchi Bora la UFUNDI Coach na Scauti Bora ya Yanga.
VIOGOZI WA Yanga ni wasikivu na wanasikiliza maoni.
UPANDE WA PILI NI MABISHI NA YANASAJILI MAWINGA 10 KWENYE TIMU MOJA.
Soma post no.14 , Yanga ina mabeki 8 simba pia ina mabeki 8, sasa wewe umekazana kusema simba ina mabeki wachache imejaza mawinga. Mbona yanga ina idadi hiyo hiyo ya Mabeki? Idadi ya mabeki simba sio tatizo bali tatizo ni wengine kutotumika. Akina Bacca , Job, Kibwana waliaminiwa na Nabi ndio mpaka sasa hivi wanaaminiwa.Pamoja na kuwa Mimi ninaipenda Simba.
Yanga kwa sasa Wanatimu nzuri mno.
Huu Mwaka WA Tatu Timu Yao INAZIDI kuwa IMARA KILA SIKU .
NA WANAZIDI KUTIMIA.
Sababu
1. VIONGOZI wazuri wenye Maoni UBUNIFU akili na maarifa Mwenyekiti Herse Said makamu CEO nk.
2. Timu nzuri kuanzia Wachezaji wazuri.
Wametimia Kila IDARA.
3. Benchi Bora la UFUNDI Coach na Scauti Bora ya Yanga.
VIOGOZI WA Yanga ni wasikivu na wanasikiliza maoni.
UPANDE WA PILI NI MABISHI NA YANASAJILI MAWINGA 10 KWENYE TIMU MOJA.
Maajabu hayataisha Duniani...🔰Kwa mujibu wa Kocha wa Al Merrikh Osama Nabieh anasema kuwa Mabingwa wa nchi Yanga ni miongoni mwa timu zinazoogopewa kwa sasa Barani Afrika.
View attachment 2761703
Pamoja na kuwa Mimi ninaipenda Simba.
Yanga kwa sasa Wanatimu nzuri mno.
Huu Mwaka WA Tatu Timu Yao INAZIDI kuwa IMARA KILA SIKU .
NA WANAZIDI KUTIMIA.
Sababu
1. VIONGOZI wazuri wenye Maoni UBUNIFU akili na maarifa Mwenyekiti Herse Said makamu CEO nk.
2. Timu nzuri kuanzia Wachezaji wazuri.
Wametimia Kila IDARA.
3. Benchi Bora la UFUNDI Coach na Scauti Bora ya Yanga.
VIOGOZI WA Yanga ni wasikivu na wanasikiliza maoni.
UPANDE WA PILI NI MABISHI NA YANASAJILI MAWINGA 10 KWENYE TIMU MOJA.
Mbona kama wote walikuwepo Tanga mkuuView attachment 2762070
Hapo kikosi chochote Mbumbu anakufa
Hatujasahau ya TANGA mkuuView attachment 2762070
Hapo kikosi chochote Mbumbu anakufa
Timu ina miaka 30 haijafika hatua ya makundi leo iogopwe jamani hata kusema uongo nako kunahitaji matumizi ya akili mjue.[emoji617]Kwa mujibu wa Kocha wa Al Merrikh Osama Nabieh anasema kuwa Mabingwa wa nchi Yanga ni miongoni mwa timu zinazoogopewa kwa sasa Barani Afrika.
View attachment 2761703