Kocha: yanga ni miongoni mwa timu 4 za kuogopwa afrika kwa sasa

we jamaa hii pwenti yako ta mawinga inanichekeshaga sana
 
Soma post no.14 , Yanga ina mabeki 8 simba pia ina mabeki 8, sasa wewe umekazana kusema simba ina mabeki wachache imejaza mawinga. Mbona yanga ina idadi hiyo hiyo ya Mabeki? Idadi ya mabeki simba sio tatizo bali tatizo ni wengine kutotumika. Akina Bacca , Job, Kibwana waliaminiwa na Nabi ndio mpaka sasa hivi wanaaminiwa.
 
Reactions: BRN
Tangu Ushauri wako utupwe kapuni umekuwa hasi sana kwa Simba..kumbuka ukishauri sio lazima Ushauri wako ukubaliwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…