Nadhani mtoe Banda na dhambi ilianza kumtoa BwalyaOndoa haraka sana wachezaji hawa dirisha dogo.
1.Jimmyson Mwinuke
2.Gadiel Michael
3.Erasto Nyoni,
4.Jonas Mkude
5.Sadio Kanoute
6.Peter Banda
7.Victor Akpan
8.Nelson Okwa
9.Mohamed Quattara
10.John Bocco
11.Denis Kibu
Hawa ni wachezaji wa kawaida sana, wanachokitafuta viongozi watakipata, uchaguzi hauko mbali.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Afadhali mmelitambua hili kwamba yanga ina kikosi bora kuliko makolo ila huwa mnabisha tu kimazoea.Hao wataongezewa mikataba
Simba pale kuna mambo ya kushangaza sana
Kule kwa mtani hakuna ubahili wala janja janja wamedhamiria kupata mafanikio
1.AZAM 2. KMC,3,YANGA,4,SINGIDAUkisha shinda inakuwaje ngumu?
Kwani Yanga, KMC na Singida zilipokutana na Simba zilishinda?1.AZAM 2. KMC,3,YANGA,4,SINGIDA
IPI HAPO MLIPOSHINDA IZO NDO TEAM NGUMU MLIZOCHEZA NAZO
NATABIRI
NAMUNGO, , PIA HAMTOPATA MATOKEO
Umeongea kiunamichezo sio kishabiki kama wengineKuna kitu kinaitwa mpito, kuna muda mchezaji anacheza mpira wa hovyo sio kwasababu ya kiwango
Mfano Israh aliwahi kutufungisha kwenye mechi ya KMC na siku ile alicheza mechi vibaya.
Lakini baada ya pale katika mechi zilizofuata alikuwa bora na wote tulipendezewa na kiwango chake
Mzamiru Yassin ambaye humu tulikuwa tuliimba kuwa hana kiwango, ameshuka, hajitumi, umri umeenda nk. Lakini mwana Simba gani ambaye saizi anaweza akatoka mbele kudai Mzamiru ni mbovu?
Kwa hiyo hapa mi naona busara ni kwamba pale inapoonekana mchezaji fulani haoneshi kiwango basi ni vyema akafanyiwa sub au akawa anatokea nje ili apate recovery nzuri
Nb: Ikumbukwe kuwa sipingi kuwa hatuhitaji kusajili wachezaji wengine
Napinga sababu nyepesi ya kuachana na mchezaji kwa kuangalia performance ya mechi mbili alizocheza chini ya kiwango
Dogo ujajionaga una madini kumbe udaga tupu! naluuliza mara ya nne performance ya mchezaji una I analyse kwa vitu gani? kama haujui usiogope kufundishwaSikulijibu kwasababu lilionesha kiasi gani huna elimu ya soka afu unabisha bisha tu
Una Mafua?Dogo ujajionaga una madini kumbe udaga tupu! naluuliza mara ya nne performance ya mchezaji una I analyse kwa vitu gani? kama haujui usiogope kufundishwa
Acha ubishi wachezaji wenu wana perform game zaifu tu hadi mtibwa ipewe red card mbili bila ivyo game zote ngumu kidogo mnazidiwa shida ya Simba kiungo hakuna
Mzamiru akuna kitu kanoute creativity zero huwezi kupata matokeo kwa ivyo
Ndiyo Ipo Arsenal.
Kukata au kuondoa majina ya wachezaji sio kazi ngumu, kazi ni kupata replacement zao (nazungumzia wachezaji wa ndani).Ondoa haraka sana wachezaji hawa dirisha dogo.
1.Jimmyson Mwinuke
2.Gadiel Michael
3.Erasto Nyoni,
4.Jonas Mkude
5.Sadio Kanoute
6.Peter Banda
7.Victor Akpan
8.Nelson Okwa
9.Mohamed Quattara
10.John Bocco
11.Denis Kibu
Hawa ni wachezaji wa kawaida sana, wanachokitafuta viongozi watakipata, uchaguzi hauko mbali.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Ndio umuhimu wa hizi team kua na vikosi vya vijana vinginevyo kazi itakua kusajiri na kuachaKukata au kuondoa majina ya wachezaji sio kazi ngumu, kazi ni kupata replacement zao (nazungumzia wachezaji wa ndani).
Mimi naona kwenye ligi yetu kuna uhaba mkubwa wa wachezaji wazuri sana ambao ni watanzania.
Top performer wa Mbeya Kwanza alikua Kyombo, ameletwa (mashabiki wanasema hatoshi).
Top performer wa Kagera Sugar alikua Mhilu, wote tunajua kilichotokea.
Habari za Charles ilanfya, Adam Salamba na wengine bila shaka bado tunazikumbuka.
Inaweza kuwa hivyo kwa Lusajo, Sixtus Sabilo, George Mpole au kwa star mwingine yeyote yule wa mid table teams.
Kila wakati Kibu ananikera kwa uchezaji wake, swali la kwanza ambalo najiuliza, kama mchezaji wa aina hii anaitwa timu ya taifa, maana yake hao wengine kawazidi kwa namna moja au nyingine, je unamuachaje huyu ili usajili hao aliowazidi.... Nabaki kuvumilia tu.
Hebu tusaidie jambo moja....
Akitoka Mkude, unapendekeza aje kiungo gani wa ndani.....
Akitoka Kibu aje winga gani wa ndani ?
NB:
1. Naomba usinitajie wachezaji wa Azam na Yanga (maana kimsingi hizo timu haziwezi kumuuzia Simba mchezaji ambaye bado wanamtaka).
2. Sijamtaja Bocco na Nyoni kwa sababu wao kigezo ni umri, hawa hakuna namna ni lazima waondoke.