Kocha yoyote mwenye Akili tarehe 23 Oktoba, 2022 ataanza na Moloko na siyo Kisinda

Kocha yoyote mwenye Akili tarehe 23 Oktoba, 2022 ataanza na Moloko na siyo Kisinda

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Na tusio na Timu ( Ushabiki ) wa Klabu yoyote ile hapa Tanzania ila ni Wadau tu wa Mpira na Maendeleo yake tunajua Kocha 'Genius' Nabi hatoanza na Kisiinda ( Nuksi ) hiyo tarehe 23 Oktoba, 2022 kwa Mkapa bali ataanza na Moloko ( Bahati ) kama anataka kweli Ushindi.
 
Nimejaribu kusoma zaidi ya mala 5 Bado sijaelewa

Au ni mambo ya sheick yahaya????
 
Na tusio na Timu ( Ushabiki ) wa Klabu yoyote ile hapa Tanzania ila ni Wadau tu wa Mpira na Maendeleo yake tunajua Kocha 'Genius' Nabi hatoanza na Kisiinda ( Nuksi ) hiyo tarehe 23 Oktoba, 2022 kwa Mkapa bali ataanza na Moloko ( Bahati ) kama anataka kweli Ushindi.
Wakikupigaga ban,huwa nakosa vichekesho kama hivi.

Jf inabidi waliangalie hili,kukupiga wewe ban wewe ni upotevu wa vyanzo vya burudani.

Jf admins mkaliangalie na hili
 
Halafu ukiitwa Popoma, unakasirika!!
Nitakasirikaje kwa Neno pendwa la Popoma ambalo nililibuni Mwenyewe hapa JamiiForums mwaka 2014 baada ya Kiubunifu kabisa kuyatohoa Maneno mawili ya Lugha ya Kizaramo na Kindengereko likimaanisha Pumbavu / Mpumbavu?

Wenye Akili hapa JamiiForums huwa wananielewa vyema na haraka mno ila Wewe Juha ( Moron ) Mwandamizi JamiiForums nzima hujawahi Kunielewa pamoja na Kujipendekeza Kwako Kwangu kila Uonapo nimeanzisha Mada ( Uzi )

Kwa taarifa yako katika huu Uzi nimeamua tu Kuwasilisha Uoga wangu juu ya Winga Teleza ( Mpima Umri ) Tuisila Kisinda kwa namna ya Utani na Kukandia ila nikiwa na maana Kuu kuwa GENTAMYCINE naogopa Uzuri tarajiwa wa Kikosi cha Yanga SC.

Baada ya haya Maelezo yangu na huu Ufafanuzi wangu Kwako naomba Kukuuliza hapa huo Upumbavu ( Upopoma ) wangu uko wapi?

Mwisho nakuuliza Swali kwa niaba ya authentic Imbeciles Wenzako wote hapa JamiiForums kuwa ni kwanini 95% ya Watu mnaonichukia Kutwa GENTAMYCINE hapa JamiiForums ndiyo nyie nyie kutwa mki Log In hapa ni lazima tu mtanisoma na hata Kuchangia Mada zangu?

Unayemchukia na Yule unayemuona ni Pumbavu ( Popoma ) unaweza kupoteza muda wako Kumfuatilia na Kumjadili Kutwa hapa Jamiiforums?

Hivi GENTAMYCINE huwa nawalazimisha HATERS wangu hapa JamiiForums kuwa mnasoma posts na threads zangu? Sasa kama mnaniona ni Popoma ( Pumbavu ) SI muachane tu nami ( Ignore ) na muwe mnawasoma Members wengine ambao mnawakubali? Kwanini mnahangaika nami ambaye hamnikubali na mnanidharau?

Asante sana Mwenyezi Mungu kwa Kunibariki Mimi Mwanao GENTAMYCINE na hizi Tunu ( Shani ) zangu Kuu Nne ( 4 ) tukuka za......

1. Purely Talented
2. Charismatic Fella
3. Game Changer
4. Entertainer

Najua Natural Charm yangu GENTAMYCINE inawatesa na najua itawateseni mno kwani Nimebarikiwa vingi na Baba Mola ( hasa Mvuto na Ushawishi ) hapa JamiiForums na ndiyo maana hata nikiwa nimepigwa BAN za Mwezi au Miezi bado tu sibanduki Akilini mwa Watu ( Members ) huku idadi ya Followers wangu ikizidi tu Kuongezeka huku wale Wanichukiao Kutwa wakiwa hawana hata Follower Mmoja ( Moko ) tu.

Fikisha Ujumbe huu kwa Haters Wote.

Cc: Rais2045
 
Na tusio na Timu ( Ushabiki ) wa Klabu yoyote ile hapa Tanzania ila ni Wadau tu wa Mpira na Maendeleo yake tunajua Kocha 'Genius' Nabi hatoanza na Kisiinda ( Nuksi ) hiyo tarehe 23 Oktoba, 2022 kwa Mkapa bali ataanza na Moloko ( Bahati ) kama anataka kweli Ushindi.
Lengo lako?
Huo usaidizi wako kwa onyango hautasaidia.wote wataanza kushoto na kulia watakuwa wanabadishana
 
Back
Top Bottom