Kocha yupi atafukuzwa mapema?

Kocha yupi atafukuzwa mapema?

Trebla84

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2011
Posts
510
Reaction score
637
Ligi zikiwa zimeanza katika nchi mbalimbali duniani , je ni kocha wa klabu ipi unadhani Atafukuzwa mapema kutokana na mwenendo mgumu wa timu, au timu kumshinda uwezo.

Je, kocha yupi unatamani afukuzwe mapema Ili kuweza kuokoa matokeo ya timu.
Watford huko Epl yashamtimua kocha wao
Xisco Munoz
Karibuni wadau wa soka
 
Nawaza tu kama Mudi ataendelea kweli kuwa mvumilivu wakati timu yake ikiendelea kujikongoja, huku wapinzani wake wakiendeleza wimbi la ushindi kwa 100%

Maana asipochukua hatua mapema, kuna kila dalili ya kuendelea kubakia nafasi ya tano mpaka mwishoni mwa msimu.
 
Naona wengi mnasema gomez kwani ana matokeo mabaya?

Kocha wa geita na kmc ndio wa kwanza kufurushwa
 
Ushindi upi unazungumzia maana kuna aina nyingi za ushindi labda unazungumzia wa kucheza bao pale jangwani na kuutoa mwiko nyuma
 
Naona wengi mnasema gomez kwani ana matokeo mabaya?

Kocha wa geita na kmc ndio wa kwanza kufurushwa
Ila bwana Etienne Ndayiragije nae ni pasua kichwa.
Uyu wa kmc ni nani?
 
Back
Top Bottom