Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Kumekuwa na mijadala mbalimbali inayoendelea Mitandaoni kuhusu ni nani kocha bora kwa sasa Duniani. Wengi wamekuwa wakimtaja Pep Guardiola, wengine wakimtaja Zinedine Zidane, lakini pia wapo makocha wengine wenye ubora wa hali ya juu.
Je, yupi ni kocha bora kwa upande wako?
Je, yupi ni kocha bora kwa upande wako?