Kocha yupi ni bora kwa sasa Duniani?

Kocha yupi ni bora kwa sasa Duniani?

Mauricio Pochetinno
mauricio-pochettino.jpg
Huyu ni kocha bora wa kutengeneza timu bila kutumia pesa ndefu....
 
-Kwa vilabu, ni kocha wa Barcelona, timu yake ipo ktk mashindano yote mpaka sasa na hajapoteza mchezo ktk ligi na wanacheza soka la kuvutia machoni na defense iko tight.
-Kwa nchi, Joachim Loew hana mpinzani.
Kocha wa ujerumani na barca wanabebwa ma vikosi vyao liko wazi kabisa..... Huyo valverde mboma alipokua Athletic club hakuwa na makali haya why now???

Kwa mtazamo kocha bora anatakiwa awe na uwezo wa kubadilisha kikosi chochote kiwe cha ushindani mfano diego simeone aliikuta atletico position ya 14 ila toka ameingia kaibadilisha na inakamata top 3 kila msimu

Best coach ndio huyo hao kina guardiola ukiwapeleka timu vibonde hawafui dafu
 
Kwani tunachagua kocha bora wa mwaka 2011?
At this time Valverde anafanya vzuri kuliko Pep ni facts hizi bro.
Unless atolewe na chelsea UCL kitu ambacho ni unlikely.
Unatumia vigezo gani kudetermine kocha bora kma ni wenye kumwaga pesa kusajili mastaa wanaowabeba waonekane makocha bora basi upo sawa ila kama uwezo wa kumanage kikosi chochote na kukifanya tishio basi huyo valverde hakuna kitu kabisa
 
Kocha wa ujerumani na barca wanabebwa ma vikosi vyao liko wazi kabisa..... Huyo valverde mboma alipokua Athletic club hakuwa na makali haya why now???

Kwa mtazamo kocha bora anatakiwa awe na uwezo wa kubadilisha kikosi chochote kiwe cha ushindani mfano diego simeone aliikuta atletico position ya 14 ila toka ameingia kaibadilisha na inakamata top 3 kila msimu

Best coach ndio huyo hao kina guardiola ukiwapeleka timu vibonde hawafui dafu
Mkuu mm nimekuelewa sana hicho ndo kigezo cha kumtambua kocha bora, anayebebwa na kikosi na anayebadilisha kikosi na mfumo wa timu na kuleta matokeo chanya
 
Wenger ataendelea kusimama kama kocha bora
1. Kumantain presha za mashabiki bila kufa
2. Kucheza mpira mzuri
3. Kuibua vipaji
 
Unatumia vigezo gani kudetermine kocha bora kma ni wenye kumwaga pesa kusajili mastaa wanaowabeba waonekane makocha bora basi upo sawa ila kama uwezo wa kumanage kikosi chochote na kukifanya tishio basi huyo valverde hakuna kitu kabisa
Sasa utasemaje valverde hamna kitu wajati jamaa ana inamanage tim vzuri na mchizi. Kauza Neymar ila kikosi kimesimama vile vile.
Ndio tim yenye matokeo bora ulaya hadi sasa.
Pep si kocha mbaya, ila si kocha bora wa mwaka
 
Back
Top Bottom