Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee wa kupaki bajajiSijui kwa sababu gani hujamtaja tactician JOSE MOURINHO.
Huyu ni kocha bora wa kutengeneza timu bila kutumia pesa ndefu....Mauricio Pochetinno
![]()
Kocha wa ujerumani na barca wanabebwa ma vikosi vyao liko wazi kabisa..... Huyo valverde mboma alipokua Athletic club hakuwa na makali haya why now???-Kwa vilabu, ni kocha wa Barcelona, timu yake ipo ktk mashindano yote mpaka sasa na hajapoteza mchezo ktk ligi na wanacheza soka la kuvutia machoni na defense iko tight.
-Kwa nchi, Joachim Loew hana mpinzani.
Unatumia vigezo gani kudetermine kocha bora kma ni wenye kumwaga pesa kusajili mastaa wanaowabeba waonekane makocha bora basi upo sawa ila kama uwezo wa kumanage kikosi chochote na kukifanya tishio basi huyo valverde hakuna kitu kabisaKwani tunachagua kocha bora wa mwaka 2011?
At this time Valverde anafanya vzuri kuliko Pep ni facts hizi bro.
Unless atolewe na chelsea UCL kitu ambacho ni unlikely.
Ni kweli mkuu, mfano kocha wa Spurs....Unatumia vigezo gani kudetermine kocha bora kma ni wenye kumwaga pesa kusajili mastaa wanaowabeba waonekane makocha bora basi upo sawa ila kama uwezo wa kumanage kikosi chochote na kukifa ya tishio basi huyo valverde hakuna kitu kabisa
Mkuu mm nimekuelewa sana hicho ndo kigezo cha kumtambua kocha bora, anayebebwa na kikosi na anayebadilisha kikosi na mfumo wa timu na kuleta matokeo chanyaKocha wa ujerumani na barca wanabebwa ma vikosi vyao liko wazi kabisa..... Huyo valverde mboma alipokua Athletic club hakuwa na makali haya why now???
Kwa mtazamo kocha bora anatakiwa awe na uwezo wa kubadilisha kikosi chochote kiwe cha ushindani mfano diego simeone aliikuta atletico position ya 14 ila toka ameingia kaibadilisha na inakamata top 3 kila msimu
Best coach ndio huyo hao kina guardiola ukiwapeleka timu vibonde hawafui dafu
Huyo mjerumani ni moto mwingine.-Kwa vilabu, ni kocha wa Barcelona, timu yake ipo ktk mashindano yote mpaka sasa na hajapoteza mchezo ktk ligi na wanacheza soka la kuvutia machoni na defense iko tight.
-Kwa nchi, Joachim Loew hana mpinzani.
Anatakiwa aje Arsenal fc sasa! Nami namkibali sana.Huyo mjerumani ni moto mwingine.
My best coach of all time,Joachim Low
Sasa utasemaje valverde hamna kitu wajati jamaa ana inamanage tim vzuri na mchizi. Kauza Neymar ila kikosi kimesimama vile vile.Unatumia vigezo gani kudetermine kocha bora kma ni wenye kumwaga pesa kusajili mastaa wanaowabeba waonekane makocha bora basi upo sawa ila kama uwezo wa kumanage kikosi chochote na kukifanya tishio basi huyo valverde hakuna kitu kabisa