zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Hamna hata wenger akiwa barca timu inambeba atachukua la liga kila msimu ila huyo valverde mfano ile mechi ya atletico kamtoa iniesta kamuingiza gomez ambaye wote tunajua asingeweza handle ile game mara 10 angemuingiza paulinho ila kwa kuwa timu ina mastaa pengo halikuonekana ila hayo makosa angefanya akiwa na katimu kma swansea angepigwa hata 10Sasa utasemaje valverde hamna kitu wajati jamaa ana inamanage tim vzuri na mchizi. Kauza Neymar ila kikosi kimesimama vile vile.
Ndio tim yenye matokeo bora ulaya hadi sasa.
Pep si kocha mbaya, ila si kocha bora wa mwaka
Kwa ufupi hana jipya sana ila timu ni nzuri inamfichia madhaifu yake..... Muone luis enrique aliyekuwa celta vigo alikuwa zero kabisa ila kaenda barca akawa superstar.....
My point is barca ina kikosi kizito just imagine coutinho na dembele pekee wamecost zaidi ya pauni million 250 sasa unategemea kocha ataonekana udhaifu wake??
Usisahau kuna msimu barca ilicheza mechi kibao bila kocha mkuu tito vilanova sababu ya matibabu ila bado walichukua makombe kma kawa!!