Kocha yupi ni bora kwa sasa Duniani?

Kocha yupi ni bora kwa sasa Duniani?

Sasa utasemaje valverde hamna kitu wajati jamaa ana inamanage tim vzuri na mchizi. Kauza Neymar ila kikosi kimesimama vile vile.
Ndio tim yenye matokeo bora ulaya hadi sasa.
Pep si kocha mbaya, ila si kocha bora wa mwaka
Hamna hata wenger akiwa barca timu inambeba atachukua la liga kila msimu ila huyo valverde mfano ile mechi ya atletico kamtoa iniesta kamuingiza gomez ambaye wote tunajua asingeweza handle ile game mara 10 angemuingiza paulinho ila kwa kuwa timu ina mastaa pengo halikuonekana ila hayo makosa angefanya akiwa na katimu kma swansea angepigwa hata 10

Kwa ufupi hana jipya sana ila timu ni nzuri inamfichia madhaifu yake..... Muone luis enrique aliyekuwa celta vigo alikuwa zero kabisa ila kaenda barca akawa superstar.....

My point is barca ina kikosi kizito just imagine coutinho na dembele pekee wamecost zaidi ya pauni million 250 sasa unategemea kocha ataonekana udhaifu wake??

Usisahau kuna msimu barca ilicheza mechi kibao bila kocha mkuu tito vilanova sababu ya matibabu ila bado walichukua makombe kma kawa!!
 
Yanini unachosha mkono wako kumjibu huyo ndugu yetu!! Mjibu shortcut ni hivi...bila Messi Barca sio chochote,,, Messi ndiye injini ya Barca. Mjibu hivyo bwana Zitto!
 
Braza coutinho kaja January alifika Barca asha shinda mechi za kutosha
Huyu kocha kamnunua Paulinho angalia jamaa anavo piga mzigo.
Unasena hivo angalia mwaka jana enrique alifanyaje? Tena alikuwa na Messi Neymar na Suarez.
Angalia Geraldo Martino alikuwa kocha wa Barca wakati Messi yupo mbona hakuchukua hata kombe la kuku?
Valverde kacheza mechi 28 za ligi hajafungwa hata Guardiola hakufanya hvo
Kipindi cha Vilanova walishinda laliga tuu kaka.

Valverde atashindwa kuwa kocha bora endapo tu leo chelsea ata mtoa.
 
Yanini unachosha mkono wako kumjibu huyo ndugu yetu!! Mjibu shortcut ni hivi...bila Messi Barca sio chochote,,, Messi ndiye injini ya Barca. Mjibu hivyo bwana Zitto!
Braza nakuonaga reasonable ila umechemka.
Sasa juzi barca wamecheza bila.Messi hakuna hata shda walo onesha,
Injini ingekuwa Messi Barca isinge badilisha makocha
 
Umefuatilia mechi za nyuma ambapo messi hakucheza?? Copa del Rey pia umecheki? Fanya research then urudi na majibu
 
Khaaa! We jamaa ushabiki wa Messi umekuzidi kiasi hata facts huzijui
Barca Kafungwa mechi moja tuu na Espanyol nayo Messi Alicheza.
Haya wacha mechi mlozo toa droo zengine zingi tuu Messi alikuwepo.
Kwa hiyo Barca hajafungwa Mechi yyte ambayp Messi hakucheza.
Mwezi August barca ulifungwa na Madrid mara mbili Messi akiwemo.
Una mdis kocha fundi kisa Messi!! Fuatilia facts ndio uje uongee
 
bado kocha wa atletico madrid atabaki kuwa kocha bora kwangu, akifuatiwa na zidane zizzu, kwa mbaaaali namwona pep guardiola huku kocha wangu mourihno akiwa wa mwisho kabisa
 
Back
Top Bottom