Prince Dos Santos
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 1,047
- 1,321
Papii Kocha !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Babu anajua huyu!Jup hynkes.
Kambadili Salah kwelikweli!Jurgen Norbert Klopp
Booom [emoji91] ... Heavy Metal Football
Kaks hali za wachezaji hasa kiafya na kisaikolojia anajua kocha na benchi lake la ufundi pamoja na madaktari wa timu.Hamna hata wenger akiwa barca timu inambeba atachukua la liga kila msimu ila huyo valverde mfano ile mechi ya atletico kamtoa iniesta kamuingiza gomez ambaye wote tunajua asingeweza handle ile game mara 10 angemuingiza paulinho ila kwa kuwa timu ina mastaa pengo halikuonekana ila hayo makosa angefanya akiwa na katimu kma swansea angepigwa hata 10
Kwa ufupi hana jipya sana ila timu ni nzuri inamfichia madhaifu yake..... Muone luis enrique aliyekuwa celta vigo alikuwa zero kabisa ila kaenda barca akawa superstar.....
My point is barca ina kikosi kizito just imagine coutinho na dembele pekee wamecost zaidi ya pauni million 250 sasa unategemea kocha ataonekana udhaifu wake??
Usisahau kuna msimu barca ilicheza mechi kibao bila kocha mkuu tito vilanova sababu ya matibabu ila bado walichukua makombe kma kawa!!
Hapana barca ina kikosi 5 star defence bora kabisa spain ni ya atletico hilo halina ubishi hapo nampa heko simeone ila barca yenye defence ambayo thamani yake ni zaidi ya £150 siwezi wasifiaVarverde kaisuka mno barca kuwa na defence ngumu kama huoni hilo wewe ni zwazwa
Ina maana andre gomez yupo fiti kuliko Paulinho??? Hicho ndio nlichoshangaa ndio maana tokea hapo kasi ya barca ile game ikafia hapoKaks hali za wachezaji hasa kiafya na kisaikolojia anajua kocha na benchi lake la ufundi pamoja na madaktari wa timu.
Huyo Iniesta hayupo vizuri kiafya muda mrefu tu tena ukizingatia umri wake.
Huwa anamtumia mechi muhimu sana na wakati mwingine anampa dakika pungufu ya 90 au anampumzisha mechi moja moja.
Kwa kasi na ubabe wa Atletico na inategemea alikuwa anashindana na nani hapo katikati ilikuwa lazima amlete mtu fit kiafya.
Jinsi ulivyolaumu hii umenikumbusha mashabiki wa kibongo hasa Simba na Yanga.
Nimetolea mfano kuonyesha kwa mpira wa sasa timu zenye pesa haziwi affected na makocha.... Mfano bayern hata ukimpeleka shaffih dauda bado atabeba bundesliga... Angalia Unai emery coach mbovu kabisa ila anachukua ligue 1 msimu huu yote sababu timu hizo zima vikosi vikubwaKwanini umpeleke swanswea wakati haina pesa ya kumnunua jaribu kumpeleka zizzou spurs uone kama atafanya chochote
Atletico kabla ya game ya Barca sio tu alikuwa na clean sheet nyingi ila alikuwa amefungwa magoli 9 pekee ndani ya mechi zile 27Uongo mtupu huo kati ya barca na atletico wapi wanaongoza kwa clean sheet?
Jaribu kumpeleka zizzou celta uone atakachofanywa uone kama ataifunga Madrid kama alivyofanya enirique
Hahahhaa mie sio fan wa zizzou.... He is also shit ila kikosi kinambeba.... Mie fan wa Simeone basiii huyo ndio mwanaume na alikuwepo bia Berrizo kocha wa sevilla na zamani celta vigo hao walivibadilisha vikosi vyao vya kawaida vikawa tishio la liga sio hao wategemea pesa !!!Kwaiyo hata mmeo zizzou nae tukimpeleka getafe ata perform?
Sijasema wahurumiwe ila nachosema msisifie makocha uchwara mkawaita makocha bora kisa wako kwenye klabu kubwa..... Yaani tuwe rational kocha bora la liga ni simeone sababu timu yake imezidiwa kila kitu cha rasilimali na barca na real madrid ila bado ameweza kuwapa changamoto kwa msimu wa 6 sasa huoni hayo ni mafanikioKwaiyo kama team inauwezo isisajiri kisa kuwaonea huruma kina simeoni?
Ivi unajua atletico msimu uliopita ilitumia pesa nyingi sana laliga ikinunua Niko gaitan,Gameiro, na wengine
Ndio zisajili hamna aliyekataa ila msitoe sifa kwa makocha uchwara wasiostahili sifa..... Kma la liga mbona simeone amechukua europa league,kings cup na la liga tayari?? Tena amezichapa timu kubwa mpaka kuchukua ubingwa bila kusahau fainali mbili za Champions leagueKwani kuna team inayozuiwa kununua?
Kwanini hao unaowasifia wasichukue ubingwa?
Team ili ikamilike inatakiwa iwe financial enough na ipate makombe na huwezi kupata makombe bila kuwa na wachezaji wazuri kwaiyo atletico na hao unaowasifia ni vikundi vya wahuni sio team
Fainali waliyopigwa 4 na barca bado supercup wakalishwa sijui 6 na barca hao hao bado tena wakapigwa na barca mara 8 mfululizo!!! Hahahahaa valverde hamna kitu kabisa pale timu inambeba hata wwe nkikupa kikosi cha barca utachukua ligi mchana kweupeAcha uongo mkuu mbona bilibao amefanya vizuri tu na kuingia fainaly copa deray Mara kibao
Mpe malaga simeone tuone kama ataipandisha segunda
Hebu taja wachezaji sita aliowafindisha barce b akaja kutamba nao na barce?Yeye anataka team ifanye vizuri barca napo pesa katumia kununua zlatan na Sanchez alafu barca alianza kwa kuisuka barca B city kaikuta hapo hapo wanataka makombe ikabidi anunue
Kwani wewe kocha wako kazuiwa kutumia pesa?
Acha kulialia
Ila huyo paco alikuwa mtamu sana valencia sijui nini kimempata barca amekua zaidi ya mzigo!!Varverde ameibadilisha mno barca ndyo maana ni unbeaten mpaka sasa mkuu ameboresha defence amejaribu ku dunduliza kikosi kile kile kidogo chenye lundo la wachezaji mizigo kama paco,Vidal,gomes na kuendanao kiaina aina tu na wakongwe kama paulinho kuwa handle na kuwatafutia namna ya kucheza kuacha na uongo valverd he is too tactical kataa kubali team imeanza,league ikiwa weak kabisa lakini kadri siku zilivyozidi kusonga team imechange kabisa na kuwa bora
Katika hao aliowatumia ni pedro na busquet tu..naingia chimbo kujua kama kweli aliwafundisha barce b..manake la liga waongoBusquets
Montoya
Marc barta
Pedro
Alcantara
C.tello