Kocha yupi ni bora kwa sasa Duniani?

Kocha yupi ni bora kwa sasa Duniani?

Jup hynkes.
Babu anajua huyu!
Inashangaza anakuwa underrated kuliko uwezo wake.

Bayern chini yake inapiga soka safi la kasi na la ushindi.

Kiukweli kocha bora kuliko wote wa klabu kwa sasa ni Velverde wa Barca.
 
Hamna hata wenger akiwa barca timu inambeba atachukua la liga kila msimu ila huyo valverde mfano ile mechi ya atletico kamtoa iniesta kamuingiza gomez ambaye wote tunajua asingeweza handle ile game mara 10 angemuingiza paulinho ila kwa kuwa timu ina mastaa pengo halikuonekana ila hayo makosa angefanya akiwa na katimu kma swansea angepigwa hata 10

Kwa ufupi hana jipya sana ila timu ni nzuri inamfichia madhaifu yake..... Muone luis enrique aliyekuwa celta vigo alikuwa zero kabisa ila kaenda barca akawa superstar.....

My point is barca ina kikosi kizito just imagine coutinho na dembele pekee wamecost zaidi ya pauni million 250 sasa unategemea kocha ataonekana udhaifu wake??

Usisahau kuna msimu barca ilicheza mechi kibao bila kocha mkuu tito vilanova sababu ya matibabu ila bado walichukua makombe kma kawa!!
Kaks hali za wachezaji hasa kiafya na kisaikolojia anajua kocha na benchi lake la ufundi pamoja na madaktari wa timu.

Huyo Iniesta hayupo vizuri kiafya muda mrefu tu tena ukizingatia umri wake.
Huwa anamtumia mechi muhimu sana na wakati mwingine anampa dakika pungufu ya 90 au anampumzisha mechi moja moja.

Kwa kasi na ubabe wa Atletico na inategemea alikuwa anashindana na nani hapo katikati ilikuwa lazima amlete mtu fit kiafya.

Jinsi ulivyolaumu hii umenikumbusha mashabiki wa kibongo hasa Simba na Yanga.
 
Varverde kaisuka mno barca kuwa na defence ngumu kama huoni hilo wewe ni zwazwa
Hapana barca ina kikosi 5 star defence bora kabisa spain ni ya atletico hilo halina ubishi hapo nampa heko simeone ila barca yenye defence ambayo thamani yake ni zaidi ya £150 siwezi wasifia

Barca pesa imefanya wasajili kikosi kizuri ndio maana hata enrique alionekana top alivyokuwa barca ila akiwa celta vigo alikuwa shit vilevile valverde bilbao alikuwa wa kawaida sana ila kaja barca mnamuona top

Pale ni vikosi tu hata ukimpeleka Wenger pale ataonekana bora kuliko sasa
 
Kaks hali za wachezaji hasa kiafya na kisaikolojia anajua kocha na benchi lake la ufundi pamoja na madaktari wa timu.

Huyo Iniesta hayupo vizuri kiafya muda mrefu tu tena ukizingatia umri wake.
Huwa anamtumia mechi muhimu sana na wakati mwingine anampa dakika pungufu ya 90 au anampumzisha mechi moja moja.

Kwa kasi na ubabe wa Atletico na inategemea alikuwa anashindana na nani hapo katikati ilikuwa lazima amlete mtu fit kiafya.

Jinsi ulivyolaumu hii umenikumbusha mashabiki wa kibongo hasa Simba na Yanga.
Ina maana andre gomez yupo fiti kuliko Paulinho??? Hicho ndio nlichoshangaa ndio maana tokea hapo kasi ya barca ile game ikafia hapo

Hiyo inaonyesha valverde anabebwa na kikosi ila yeye mwenyewe hana jipya sana ndio maana makosa yake yanazibwa na wachezaji..... kma makocha wa barca ni wazuri sana embu niambie tata martino na luis enrique wako wapi???
 
Kwanini umpeleke swanswea wakati haina pesa ya kumnunua jaribu kumpeleka zizzou spurs uone kama atafanya chochote
Nimetolea mfano kuonyesha kwa mpira wa sasa timu zenye pesa haziwi affected na makocha.... Mfano bayern hata ukimpeleka shaffih dauda bado atabeba bundesliga... Angalia Unai emery coach mbovu kabisa ila anachukua ligue 1 msimu huu yote sababu timu hizo zima vikosi vikubwa

Hivyo sifa kwa barca mara zote ziende kwa board inayomwaga pesa kusajili sio kwa makocha uchwara hao ambao kma sio uwezo binafsi wa wachezaji hawana mpya

Huyo valverde athletic bilbao ilikuwa mbovu kabisa kuliko wakati wowote ule iweje ndani ya mwaka mmoja aonekane bonge la kocha mnashau alimegwa mechi zote alizokutana na barcelona !!!

Kocha bora ni yule mwenye uwezo wa kubadilisha timu kwenye mazingira yoyote yale mara 10 brian laudrup aliibadilisha getafe na swansea zikawa timu bora kabisa kwenye ligi zao sio hawa wanaotegemea pesa na vikosi vye majina makubwa
 
Uongo mtupu huo kati ya barca na atletico wapi wanaongoza kwa clean sheet?

Jaribu kumpeleka zizzou celta uone atakachofanywa uone kama ataifunga Madrid kama alivyofanya enirique
Atletico kabla ya game ya Barca sio tu alikuwa na clean sheet nyingi ila alikuwa amefungwa magoli 9 pekee ndani ya mechi zile 27

Kwa ufupi mechi 100 za mwisho za atletico kafunga magoli 50 ikimaanisha ana clean sheet zaidi ya 60% ya mechi 100 zilizopita hapo barca inaingiaje???

Oblak amekuwa kipa bora ulaya kwa maana ya mikwaju anayochomoa na clean sheets kwa misimu kadhaa sasa kutokana na defence bora kabisa ya atletico

More so wametumia pesa ndogo tu we unafkiri godin gimenez lucas na vrsjalko wanafikia hata robo ya bei ya coutinho??? Ila hao hao simeone kawabadilisha wamekua ukuta haswaaaa huyo ndio beki bora sio unamwaga pesa unapata wachezaji wenye uwezo binafsi afu unamsifia kocha uchwara
 
Tite - revivalist, revolutionary or reactionary? How Brazil recovered from national humiliation
Tite.jpg


TELEMMGLPICT000146304935_trans_NvBQzQNjv4BqTh3H5BemKyhXFKdcxJGxV_A1KhGnY4swKS-Nh5TBNh0.jpeg

f4f472768380d1e5d6146cd579e09caa
 
Kwaiyo hata mmeo zizzou nae tukimpeleka getafe ata perform?
Hahahhaa mie sio fan wa zizzou.... He is also shit ila kikosi kinambeba.... Mie fan wa Simeone basiii huyo ndio mwanaume na alikuwepo bia Berrizo kocha wa sevilla na zamani celta vigo hao walivibadilisha vikosi vyao vya kawaida vikawa tishio la liga sio hao wategemea pesa !!!
 
Kwaiyo kama team inauwezo isisajiri kisa kuwaonea huruma kina simeoni?

Ivi unajua atletico msimu uliopita ilitumia pesa nyingi sana laliga ikinunua Niko gaitan,Gameiro, na wengine
Sijasema wahurumiwe ila nachosema msisifie makocha uchwara mkawaita makocha bora kisa wako kwenye klabu kubwa..... Yaani tuwe rational kocha bora la liga ni simeone sababu timu yake imezidiwa kila kitu cha rasilimali na barca na real madrid ila bado ameweza kuwapa changamoto kwa msimu wa 6 sasa huoni hayo ni mafanikio

Kwa uingereza naweza fananisha na totenham ambayo kipesa imezidiwa mbali sana na wale big 4 ila bado imeweza kuwapa changamoto msimu wa 5 saaa hivyo hilo ni jambo la kupongeza na kuwaita makocha bora sio timu inamwaga pesa alafu kocha uchwara anatembelea majina ya wachezaji unamuita kocha bora hapo ndio napinga
 
Kwani kuna team inayozuiwa kununua?

Kwanini hao unaowasifia wasichukue ubingwa?

Team ili ikamilike inatakiwa iwe financial enough na ipate makombe na huwezi kupata makombe bila kuwa na wachezaji wazuri kwaiyo atletico na hao unaowasifia ni vikundi vya wahuni sio team
Ndio zisajili hamna aliyekataa ila msitoe sifa kwa makocha uchwara wasiostahili sifa..... Kma la liga mbona simeone amechukua europa league,kings cup na la liga tayari?? Tena amezichapa timu kubwa mpaka kuchukua ubingwa bila kusahau fainali mbili za Champions league

Nachosifia atletico ni wachezaji wa kawaida tu wenye mshahara mdogo sana ila simeone kawatumia hao hao kuwabadilisha na kuwafanya timu bora kabisa la liga hadi kuwanyima usingizi real na barca je huoni huyo ndio kocha bora??

Huyo valverde ukimpa valencia anafutika kwenye historia ya mpira milele..... Usiwasifie makocha uchwara kma hao sifia makocha wenye uwezo wa kubadilisha kikosi chochote kuwa chenye ushindani kma pochettino, laudrup au simeone sio valverde au zizzou hawana lolote hao
 
Acha uongo mkuu mbona bilibao amefanya vizuri tu na kuingia fainaly copa deray Mara kibao

Mpe malaga simeone tuone kama ataipandisha segunda
Fainali waliyopigwa 4 na barca bado supercup wakalishwa sijui 6 na barca hao hao bado tena wakapigwa na barca mara 8 mfululizo!!! Hahahahaa valverde hamna kitu kabisa pale timu inambeba hata wwe nkikupa kikosi cha barca utachukua ligi mchana kweupe

Ni sawa na kocha wa argentina ni mbovu sana ila kikosi kinambeba na atawacost world cup utaniambia..... Kuhusu simeone sina shaka hilo ni jembe la majembe defence yake ina watu 6 tu kikosi kizima ila anawazungusha hao hao msimu mzima na bado wameruhusu magoli kwenye mechi chini ya 40 kati ya mechi 100 za mwisho.... Huyo hata akienda '' Segunda Z'' bado atachomoza
 
Yeye anataka team ifanye vizuri barca napo pesa katumia kununua zlatan na Sanchez alafu barca alianza kwa kuisuka barca B city kaikuta hapo hapo wanataka makombe ikabidi anunue

Kwani wewe kocha wako kazuiwa kutumia pesa?

Acha kulialia
Hebu taja wachezaji sita aliowafindisha barce b akaja kutamba nao na barce?
 
Varverde ameibadilisha mno barca ndyo maana ni unbeaten mpaka sasa mkuu ameboresha defence amejaribu ku dunduliza kikosi kile kile kidogo chenye lundo la wachezaji mizigo kama paco,Vidal,gomes na kuendanao kiaina aina tu na wakongwe kama paulinho kuwa handle na kuwatafutia namna ya kucheza kuacha na uongo valverd he is too tactical kataa kubali team imeanza,league ikiwa weak kabisa lakini kadri siku zilivyozidi kusonga team imechange kabisa na kuwa bora
Ila huyo paco alikuwa mtamu sana valencia sijui nini kimempata barca amekua zaidi ya mzigo!!
 
Back
Top Bottom