Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Nashangaa watu wako bize na EPL.Kwa sasa Kocha bora ni Valverde wa barcelona tim yake imefungwa mechi mbili tuu pia haijafungwa mechi hata moja kwenye ligi kuu na UCL na yuko kwenye mashindano yoote mpaka sasa.
Ndio tatzo la wabongo hawafuatilii mpira wanafuatilia EPL.Nashangaa watu wako bize na EPL.
Ndio tatzo la wabongo hawafuatilii mpira wanafuatilia EPL.
Alicho fanya Pep siyo maajabu ya dunia halaf Barcelona wamefanya vema kuliko City
Kwani tunachagua kocha bora wa mwaka 2011?kipi kipya ambacho pep hakufanya na barca
Kocha bora wa mwaka mpaka sasa, sio wa 2011.kipi kipya ambacho pep hakufanya na barca
HahahaMauricio Pochetinno