Kocha Zinedine Zidane ajiuzulu kuifundisha Klabu ya Real Madrid

HAUKUNIELEWA VIZURI MKUU, SIJAMLINGANISHA MOURINHO NA ZIDANE, MOURINHO ALIPOTWAA EUFA PORTO & INTER ALIONDOKA MAPEMA KABLA YA KUCHAFUA CV.
Huko hakuondoka kwa sababu ya kuharibu cv mkuu. Aliondoka kwa sababu alikua anatakiwa na vilabu vingne. Wakat anatoka porto alikua anatakiwa chelsea na wakat anatoka inter alikua anatakiwa madrid. Huyu ameondok madrid sio kwa sababu anatakiwa na timu nyingne ila kaamua tu.
 
Zidane alitumwa kuwabaka liverpool na kimdomo domo chao, kishamaliza kazi aliotumwa
We jamaa akili yako itakuwa na matatizo si bure, Liver inaonekana inakuwasha sana..!!
 
Madrid imeahinda vikombe 13 jumla vya ucl, yeye kaionhoza kushinda 3, tumia magazijuto hapa.


√ Pep Guardiola Aliona Mbali Kuwa Kizazi cha La Macia Kitakapomalizika Atasahauliwa Pale Barcelona Kwa Kila Jema alilolifanya.

√ Anceloti Baada Ya Kushinda Champion League Pale AC Milan Mwaka 2007 alikuwa moja Kwa moja atangaze Kujiuzulu ili abaki na Heshima, Lakini alifanya Tamaa nadhani unaona Kilichompata Baada Ya Kufukuzwa Kwa Aibu.

√ Sasa na Zidane Ni Genius Kwa Kutumia akili! Baada Ya Kuona Kizazi alichorithi Kutoka Kwa Tangulizi Wake ambacho Ndiyo Uti Wa Mgongo Wa Timu Kwasasa umri wao Ni +30years wakiwa Wanaelekea ukingoni Katika Career zao! Ameamua Mapema Kulinda Heshima Yake Kwani Katika Sayari Hii alijua Fika Hata kama Atawasaini Kina Hazard na Neymar Basi Hawezi Kuwareplace Wachezaji Wake Waliotengeneza System Kwa Muda mrefu! Ndiyo Kaamua Kutimka Mapema ili asomeke Kuwa Ni Mwenye Heshima asijefukwa na Aibu ya Ancelotti.

Kizazi Hicho Ni Ronaldo, Bale, Benzema, Modric na Kroos kitakuja Kuwafukuzisha Makocha Wengi Sana Baada Kumalizika Kwake.
 
We jamaa akili yako itakuwa na matatizo si bure, Liver inaonekana inakuwasha sana..!!


Mkuu Huyo Jamaa Mimi Ninawasiwasi Nae Kuwa Ni Mwanamke lakini Kajifanya Kuwa na ID ya Kiume.
Cuz Haiwezekani Mwanamme Kupenda Mipasho Kiasi Hicho! Mipasho Wanayofanya Ni Wanawake Kama Yeye na Si Wanaume.

Jamaa Yeye Halikomment Chochote isipokuwa Liitaje Liverpool popote pale utapoliona yaani linataka Kiki lionekane bonge la Hater Hapa JF Wakati Watu Wanamchora tu Anavyopaparika na nonsense Zake Kwani Yeye Ni New Comer tu Hapa JF kajiunga Juzi kama Nilivyojiunga mimi kwahiyo Hawezi Gonga vichwa vya Wakongwe Wa JF Kwa Pumba zake Zisizo na tija.
 
timu hamna mule wazee kibao inahitajika rotation ya kufa mtu ili madrid iwe moto misimu ya mbeleni hapo
amini nakuambia ufalme unarudi barca tena maana wao washafanya rotation na kikosi chao kipo standard kwa sasa
Barca hii siku Messi asipocheza inafungwa? Barca ukimtoa messi hakuna timu
 
Sitaki hata kuandika mengi anaboa mno, hakuna hata points anazoandika ni upuuzi mtupu yani yeye kang'ang'ana na Liverpool tu utafikiri ilimlawiti..!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…