KOCHA ZOLAN HAWEZI KUIFIKISHA SIMBA SC POPOTE

KOCHA ZOLAN HAWEZI KUIFIKISHA SIMBA SC POPOTE

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Simuelewi kabisa huyu kocha na falsafa zake za kuwaweka benchi wachezaji kama Nyoni, Kennedy Juma, John Bocco ...ha2a ni wachezaji ambao hawajacheza mchezo wowote mpaka sasa nilitaraji angewatumia ktk mechi izi za Sudan ila ajabu hakuna mabadiliko.

Ni wazi nimeona dalili za kocha huyu kutokufikisha popote chama la wana Lunyasi
 
Na-subscribe kabisa ili simba itakapo fika popote nije kukujuza.
 
Asa kama mpira wenyewe tu huujui na wala hujishughulishi kuujuua.
kocha mzuri na kocha mbovu utawajulia wapi?
Michezo ipo mingi jamani wengine kwanini msishabikie hata mchezo wa kutupa Tufe?
Au hata mkuki?
 
Kwa kocha huyu MAKOLo wamepigwa Kitu kizito [emoji23][emoji23]
 
Kwa leo kocha ameonesha ana mbinu nyingi. Nimeenjoy ‘Tactics’ za mwalimu leo. Kuna kitu Simba imebadilika hata kama haina mpira.!
Kudos.
 
First eleven yote haipo ila bado mashabiki wanalalamika kweli bongo ni overnight process.
 
Unataka kocha achezeshe wazee ili iwe rahisi kumsema anapanga wazee mambo yanapokwenda mlama?
 
Back
Top Bottom