Simuelewi kabisa huyu kocha na falsafa zake za kuwaweka benchi wachezaji kama Nyoni, Kennedy Juma, John Bocco ...ha2a ni wachezaji ambao hawajacheza mchezo wowote mpaka sasa nilitaraji angewatumia ktk mechi izi za Sudan ila ajabu hakuna mabadiliko.
Ni wazi nimeona dalili za kocha huyu kutokufikisha popote chama la wana Lunyasi
Asa kama mpira wenyewe tu huujui na wala hujishughulishi kuujuua.
kocha mzuri na kocha mbovu utawajulia wapi?
Michezo ipo mingi jamani wengine kwanini msishabikie hata mchezo wa kutupa Tufe?
Au hata mkuki?