Kodak black na 6ix9ne nani mkali zaid

Kodak black na 6ix9ne nani mkali zaid

Kodak yupo Fresh sana....Tekashi 69 anabebwa na kiki sana!...ila kwenye mizani hawajaachana sana
 
TEKASHI una mu undermine ukimuweka kwenye level za kina kodak huyu jamaa unatakiwa umpe battle na wakina LIL PUMP!!
 
TEKASHI una mu undermine ukimuweka kwenye level za kina kodak huyu jamaa unatakiwa umpe battle na wakina LIL PUMP!!
Sawa sawa maana pump anachoimba nae duuu level zile zile za 69
 
Wote hamna kitu..kama huyo tekashi sijui huwa anaimba nini.
 
Back
Top Bottom