Ndio maana tunahitaji kwanza katiba mpya otherwise haya yote tunapoteza muda tu.Binafsi naamini kama Serikali inataka kuwa makini kabisa na masuala ya Kodi..
Ingeachana kabisa na mfumo wa sasa wa kuweka serikali wilayani..
Huu mfumo wa serikali kuwa wilayani au Halmashauri ni mfumo wa kurithi kutoka kwa wakoloni ...
Wakati wakoloni wanaanzisha hii mfumo ya Bomani au wilayani au Halmashauri..
Idadi ya Watanzania ilikuwa chini ya milioni 7..
Leo Tanzania ina watu million 60 na zaidi
Bado serikali inaanzia Wilayani....
Watu wengi hawaguswi kabisa na huduma za kiserikali ..ukiweka kodi..
Serikali inapaswa sasa kupeleka huduma za Halmashauri kwenye kila KATA..
Kata itimie kwa huduma zote za Halmashauri na kodi..
Kila mwananchi amalize kila kitu kwenye kata yake..
TRA kata
Ardhi Kata.
Mahakama Kata..
Polisi Kata..
Haya yakiwepo watu watashindwa kukwepa kodi..
Kazi zote kwenye kata zinaonekana..
Migogoro ya ardhi itapungua..
Foleni za kesi zitaisha..
Usalama utaongezeka..polisi watakuwa na eneo dogo la kusimamia..
Chukulia gari ya doria itakua inazunguka kwenye kata yake tu..
Afisa Kodi ataishi na kufanya kazi eneo lake dogo tu ..na kulisimamia...
Serikali itapata mapato sana
Na wananchi watapunguza kuteseka..
Viongozi wetu waanze hili kulifanyia mchakato hata kwa Miji mikubwa Tu kama
Dar . Mwanza .waone impact yake. ..
Serikali isogee karibu kwa wananchi
Ushauri bora kabisa.Binafsi naamini kama Serikali inataka kuwa makini kabisa na masuala ya Kodi..

Wazo zuri hasa kwenye ku enforce Ulipaji Kodi, usalama na kupanga miji.. wilayani kubakie na waratibu ambao ni maofisa wa sasa Watendaji wote wawe kwenye kataBinafsi naamini kama Serikali inataka kuwa makini kabisa na masuala ya Kodi..
Ingeachana kabisa na mfumo wa sasa wa kuweka serikali wilayani..
Huu mfumo wa serikali kuwa wilayani au Halmashauri ni mfumo wa kurithi kutoka kwa wakoloni ...
Wakati wakoloni wanaanzisha hii mfumo ya Bomani au wilayani au Halmashauri..
Idadi ya Watanzania ilikuwa chini ya milioni 7..
Leo Tanzania ina watu million 60 na zaidi
Bado serikali inaanzia Wilayani....
Watu wengi hawaguswi kabisa na huduma za kiserikali ..ukiweka kodi..
Serikali inapaswa sasa kupeleka huduma za Halmashauri kwenye kila KATA..
Kata itimie kwa huduma zote za Halmashauri na kodi..
Kila mwananchi amalize kila kitu kwenye kata yake..
TRA kata
Ardhi Kata.
Mahakama Kata..
Polisi Kata..
Haya yakiwepo watu watashindwa kukwepa kodi..
Kazi zote kwenye kata zinaonekana..
Migogoro ya ardhi itapungua..
Foleni za kesi zitaisha..
Usalama utaongezeka..polisi watakuwa na eneo dogo la kusimamia..
Chukulia gari ya doria itakua inazunguka kwenye kata yake tu..
Afisa Kodi ataishi na kufanya kazi eneo lake dogo tu ..na kulisimamia...
Serikali itapata mapato sana
Na wananchi watapunguza kuteseka..
Viongozi wetu waanze hili kulifanyia mchakato hata kwa Miji mikubwa Tu kama
Dar . Mwanza .waone impact yake. ..
Serikali isogee karibu kwa wananchi
Yap!D by D!
Ndio kama hivi TRA iko wilayani, unadhani kukiwa na ukaguzi japo mara 2 kwa mwezi nyumba hadi nyumba mtu aoneshe risiti za bidhaa na huduma alizotumia watu watashindwa kudai na kutoa risiti? Saizi inaonekana kudai na kutoa risiti ni jambo La hiari.Mbona Amerika idara ya kukusanya kodi (IRS) inasimamia watu zaidi ya milioni 300 na inakusanya kodi vizuri tuu? Wao wanawezaje na TRA wanashindwa?
Na wananchi wengi hawadai risiti licha ya kwamba wanatoa pesa inaishia kumfaidisha mfanyabiashara.Hii Nchi wanaonewa Wafanyakazi kiuhalisia kabisa Wafanyabiashara wengi hawalipi kodi,wengi tena sana na wengi wakilipa hawalipi kiasi kinachotakiwa.
Kwanza TRA hapo Makao Makuu tu ya Mikoa,Wilayani hawapo.hata waliopo hapo mikoani wengi wanajikadiria tu makodi pasipo uhalisia wa biashara.
Ndio kama hivi TRA iko wilayani, unadhani kukiwa na ukaguzi japo mara 2 kwa mwezi nyumba hadi nyumba mtu aoneshe risiti za bidhaa na huduma alizotumia watu watashindwa kudai na kutoa risiti? Saizi inaonekana kudai na kutoa risiti ni jambo La hiari.
Sasa hii Kazi inaweza fanywa na Watendaji wa mitaa kwa kushirikiana na TRA na polisi , mbona kodi itapatikana na utamaduni utajengwa kama ilivyo siku ya usafi
Nchi ina kodi nyingi Sana inashangaza kwamba Serikali inamiliki Watendaji wa mitaa na wenye viti na mabalozi yaani Wana register ya kila mkaazi,nyumba,kiwanja na shamba na mali au biashara zao eti unashindwa kulipa kodi ya kupangisha,kodi ya ardhi,kodi ya jengo,leseni za mafundi nkHalafu ngazi ya kata watu wanajuana..
Kodi kama za kupangisha nyumba sasa hazikusanywi..
Ngazi ya kata ni rahisi kujua ..nyumba imepangishwa na nani..dalali nani..
Hizo ni sehemu ya Kodi serikali inakosa sasa hivi..
Kingine mgawanyo wa hela wa Halmashauri .
Utapunguza mkurugenzi wa Halmashauri kupiga hela...pesa itaenda moja kwa moja kwenye kata..