Kodi kwa Online Data services inalenga kampuni kubwa kama Google?

Kodi kwa Online Data services inalenga kampuni kubwa kama Google?

OLS

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2019
Posts
426
Reaction score
685
Kimsingi nilikuwa nasubiri tafsiri ya Online Data services, na sasa bill ya Finance Act 2024 imetoa tafsiri ya kitu hicho ambacho bajeti ya 2024/25 ilipendekeza kumegwa kodi

Screenshot 2024-06-25 at 19-06-10 Tanzania_Finance_Bill_2024_1718886325.pdf.png

Kwa tafsiri iliyotolewa ni kama platforms zote zinazochukua data za wanaotembelea platforms hizo watalipa kodi hiyo. Platforms zinazochukua data ni pamoja na Google, Yahoo, Meta, Facebook nk nawaza kama ndicho haswa kilichomaanishwa kwa sheria hii.

Hata hivyo, serikali itajuaje kuhusu data za watu wake ambazo zimetumika kibiashara, na kama zimetumika zimetumika mara ngapi kwa interval ipi na zimeuzwa kwa sh ngapi?

Naendelea kuangalia Finance Act 2024
 
Haya ndo matunda ya CCM kukopa, mwaka huu msipoamka mtalipa hadi kodi za vikojoleo
 
Back
Top Bottom