Pangu Pakavu Tia Mchuzi Member Joined Jun 3, 2006 Posts 48 Reaction score 4 Sep 14, 2016 #1 Aslaaam Aleykum waungwana. Mimi nina mpango wa kununua huku ughaibuni vifaa vya ujenzi kama bati, nondo sementi. Je kodi za ke na ushuru wa forodha unakuwaje?
Aslaaam Aleykum waungwana. Mimi nina mpango wa kununua huku ughaibuni vifaa vya ujenzi kama bati, nondo sementi. Je kodi za ke na ushuru wa forodha unakuwaje?
PRINCE CROWN JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 5,210 Reaction score 4,175 Sep 14, 2016 #2 mkuu ni bora uje ununue huko home. Maana serikali imeweka kodi kubwa kwenye bidhaa za nje. Na mimi naunga mkono uamuzi wa serikali ili kulinda viwanda vya ndani.
mkuu ni bora uje ununue huko home. Maana serikali imeweka kodi kubwa kwenye bidhaa za nje. Na mimi naunga mkono uamuzi wa serikali ili kulinda viwanda vya ndani.
Pangu Pakavu Tia Mchuzi Member Joined Jun 3, 2006 Posts 48 Reaction score 4 Sep 14, 2016 Thread starter #3 Lakini rates kwa ujumla zipoje sheikh? Kwa sababu kuna vitu vingine quality yake ni nzuri kulinganisha na vya kwetu
Lakini rates kwa ujumla zipoje sheikh? Kwa sababu kuna vitu vingine quality yake ni nzuri kulinganisha na vya kwetu