Kodi kwa vifaa vya ujenzi

Kodi kwa vifaa vya ujenzi

Joined
Jun 3, 2006
Posts
48
Reaction score
4
Aslaaam Aleykum waungwana. Mimi nina mpango wa kununua huku ughaibuni vifaa vya ujenzi kama bati, nondo sementi. Je kodi za ke na ushuru wa forodha unakuwaje?
 
mkuu ni bora uje ununue huko home. Maana serikali imeweka kodi kubwa kwenye bidhaa za nje.

Na mimi naunga mkono uamuzi wa serikali ili kulinda viwanda vya ndani.
 
Lakini rates kwa ujumla zipoje sheikh? Kwa sababu kuna vitu vingine quality yake ni nzuri kulinganisha na vya kwetu
 
Back
Top Bottom