Kodi kwenye Vocha na Miamala inaumiza Wananchi, ingeongezwa kwenye vinywaji

Kodi kwenye Vocha na Miamala inaumiza Wananchi, ingeongezwa kwenye vinywaji

Opportunity Cost

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2020
Posts
9,034
Reaction score
6,913
Nawasalimu kwa salamu ya mama.

Pamoja na nia nzuri ya kugharamia afya ila kiukweli kodi kwenye huduma za Simu ikiwemo miamala ya fedha siungi mkono inalenga kutuumiza.

Mbona kuna vyanzo vingi hasa kwenye Vinywaji laini na vikali, kodi kwenye wapangishaji wa nyumba kubishana nk?

Hapo mheshimiwa Waziri umetuumiza.
 
“Napendekeza kupunguza ushuru wa bidhaa kwenye bia zinazotengenezwa kwa kutumia shayiri iliyozalishwa nchini kutoka shilingi 765 kwa lita za sasa hadi shilingi 620 kwa lita, lengo la mapendekezo haya ni kuchochea kilimo cha shayiri nchini”———MWIGULU
#MillardAyoBUNGENI #BAJETI2021 https://t.co/6hy9nPGfY0
 
Nawasalimu kwa salamu ya mama.

Pamoja na nia nzuri ya kugharamia afya ila kiukweli kodi kwenye huduma za Simu ikiwemo miamala ya fedha siungi mkono inalenga kutuumiza.

Mbona kuna vyanzo vingi hasa kwenye Vinywaji laini na vikali, kodi kwenye wapangishaji wa nyumba kubishana nk?

Hapo mheshimiwa Waziri umetuumiza.
... wacha wananchi tumenyeke labda akili zitatukaa sawa! You know what am saying?
 
Warekebishe baadhi ya Viwango na kuongeza kwenye kamali na miamala mikubwa
 
Pikipiki faini bado ni 30 elf,indirect.....Mwigulu anasema faini ni sh elf 10,wakati huohuo tyres za Pikipiki wamepandisha kwa elf 10, na Pikipiki ina matyres 2....10+10=20 ......bado bodaboda elf 30 inawahusu......nikiripoti kutoka hapa Bungeni ni mtaalamu wa uchumi aliyesoma Memkwa wa Jeifu
 
Faini ni 10,000 hayo mengine ni yako ..mambo ya tairi ni finished goods kama vipuri nk
 
Hapa sijui waziri alifikiria nn
Kuna lile limbunge liarabu la Dar liliongeaga bungeni serikali ndo imechukua hii hoja.

Bora hata wapunguze au wakatoze kwenye miamala ya kwenye mabenki kwa sababu huko bila shaka wanaoweka pesa huko wanazo sio kwenye simu
 
Back
Top Bottom