Full Blood Picture
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 2,223
- 3,961
Nawasalimu kwa salamu ya mama.
Pamoja na nia nzuri ya kugharamia afya ila kiukweli kodi kwenye huduma za Simu ikiwemo miamala ya fedha siungi mkono inalenga kutuumiza.
Mbona kuna vyanzo vingi hasa kwenye Vinywaji laini na vikali, kodi kwenye wapangishaji wa nyumba kubishana nk?
Hapo mheshimiwa Waziri umetuumiza.
Siku zote anayeumizwa ni mwananchi wa chini linapokuja swala la bajeti