Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
😂😂huyo atakuwa mzee wa fanta na pepsi.kwahiyo kwenye vinywaji wanaoumia siyo wananchi ni mbwa
... wacha wananchi tumenyeke labda akili zitatukaa sawa! You know what am saying?Nawasalimu kwa salamu ya mama.
Pamoja na nia nzuri ya kugharamia afya ila kiukweli kodi kwenye huduma za Simu ikiwemo miamala ya fedha siungi mkono inalenga kutuumiza.
Mbona kuna vyanzo vingi hasa kwenye Vinywaji laini na vikali, kodi kwenye wapangishaji wa nyumba kubishana nk?
Hapo mheshimiwa Waziri umetuumiza.
Hujawahi onja Pepsi weweBia hata iwe 20000 sisi tatakunywa lakn soda hata iwe 200 sinywi
Hiyo inajaza tumbo anakunywa mama watotoHujawahi onja Pepsi wewe
Faini ni 10,000 hayo mengine ni yako ..mambo ya tairi ni finished goods kama vipuri nkPikipiki faini bado ni 30 elf,indirect.....Mwigulu anasema faini ni sh elf 10,wakati huohuo tyres za Pikipiki wamepandisha kwa elf 10, na Pikipiki ina matyres 2....10+10=20 ......bado bodaboda elf 30 inawahusu......nikiripoti kutoka hapa Bungeni ni mtaalamu wa uchumi aliyesoma Memkwa wa Jeifu
Kuna lile limbunge liarabu la Dar liliongeaga bungeni serikali ndo imechukua hii hoja.Hapa sijui waziri alifikiria nn