Habari JF , Hivi unamkamuaje wananchi kwa Tozo na kodi lukuki katika Nchi ambayo ina Eneo kubwa la kilimo na Uwekezaji, Madini ya kila aina, Gesi, Vivutio vya Utalii vingi na vitu vingi ambavyo serikali ingetumia kuingizia Mapato?
Ni kwamba viongozi tulionao uwezo wao umeishia kwenye Tozo?
Kwa namna hali ya pesa tunazokamuliwa nlitegemea kwa hii miaka miwili ya Awamu ya sita kuwe na Maendeleo makubwa yanayoonekana lakini hakuna tofauti na awamu nyingine kasi ni ile ile ikiwa ina maana pesa zinapotea tu.