Gombea wewe unaefaa Ili tukuchague.Habari JF , Hivi unamkamuaje wananchi kwa Tozo na kodi lukuki katika Nchi ambayo ina Eneo kubwa la kilimo na Uwekezaji ,Madini ya kila aina ,Gesi ,Vivutio vya Utalii vingi na vitu vingi ambavyo serikali ingetumia kuingizia Mapato ?
Ni kwamba viongozi tulionao uwezo wao umeishia kwenye Tozo ?
Kwa namna hali ya pesa tunazokamuliwa nlitegemea kwa hii miaka miwili ya Awamu ya sita kuwe na Maendeleo makubwa yanayoonekana lakini hakuna tofauti na awamu nyingine kasi ni ile ile ikiwa ina maana pesa zinapotea tu .
Hahaha.........!Gombea wewe unaefaa Ili tukuchague.
Kazi ipo!Habari JF , Hivi unamkamuaje wananchi kwa Tozo na kodi lukuki katika Nchi ambayo ina Eneo kubwa la kilimo na Uwekezaji ,Madini ya kila aina ,Gesi ,Vivutio vya Utalii vingi na vitu vingi ambavyo serikali ingetumia kuingizia Mapato ?
Ni kwamba viongozi tulionao uwezo wao umeishia kwenye Tozo ?
Kwa namna hali ya pesa tunazokamuliwa nlitegemea kwa hii miaka miwili ya Awamu ya sita kuwe na Maendeleo makubwa yanayoonekana lakini hakuna tofauti na awamu nyingine kasi ni ile ile ikiwa ina maana pesa zinapotea tu .
Mama anataka kuweka kukumbu ya Tanzania kuongoza kiuchumi Hapa east Africa πππππππ
Hamna jipya ndio majibu yenu skuizi na kublock followers wenu, huko Tweeter Republic mnatembeza block kama hamnna akili nzuriGombea wewe unaefaa Ili tukuchague.
Nimeangalia bank statement yangu hivi punde, hiyo government levy iliyokatwa ni pesa yangu ya matumizi wiki nzima, mwigulu anatuumiza.Habari JF , Hivi unamkamuaje wananchi kwa Tozo na kodi lukuki katika Nchi ambayo ina Eneo kubwa la kilimo na Uwekezaji ,Madini ya kila aina ,Gesi ,Vivutio vya Utalii vingi na vitu vingi ambavyo serikali ingetumia kuingizia Mapato ?
Ni kwamba viongozi tulionao uwezo wao umeishia kwenye Tozo ?
Kwa namna hali ya pesa tunazokamuliwa nlitegemea kwa hii miaka miwili ya Awamu ya sita kuwe na Maendeleo makubwa yanayoonekana lakini hakuna tofauti na awamu nyingine kasi ni ile ile ikiwa ina maana pesa zinapotea tu .
Tukutane 2025 na hoja yako ya tozoHamna jipya ndio majibu yenu skuizi na kublock followers wenu, huko Tweeter Republic mnatembeza block kama hamnna akili nzuri
Tulieni tu wembe unakuja
Mama yetu Rais Samia amuweke Dkt Ashatu pale Fedha, amuondoe Nape na Makamba, hii nchi itatulia. Na Aache kutoa vyeo kwa kulipa fadhila autumie ushauri wa Vetting vizuri. Ni kama Prof Ndalichako alivyoharibu elimu kipindi cha Dkt MagufuliHabari JF , Hivi unamkamuaje wananchi kwa Tozo na kodi lukuki katika Nchi ambayo ina Eneo kubwa la kilimo na Uwekezaji ,Madini ya kila aina ,Gesi ,Vivutio vya Utalii vingi na vitu vingi ambavyo serikali ingetumia kuingizia Mapato ?
Ni kwamba viongozi tulionao uwezo wao umeishia kwenye Tozo ?
Kwa namna hali ya pesa tunazokamuliwa nlitegemea kwa hii miaka miwili ya Awamu ya sita kuwe na Maendeleo makubwa yanayoonekana lakini hakuna tofauti na awamu nyingine kasi ni ile ile ikiwa ina maana pesa zinapotea tu .
Dr Ashatu ndio yupi tena ?Mama yetu Rais Samia amuweke Dkt Ashatu pale Fedha, amuondoe Nape na Makamba, hii nchi itatulia. Na Aache kutoa vyeo kwa kulipa fadhila autumie ushauri wa Vetting vizuri. Ni kama Prof Ndalichako alivyoharibu elimu kipindi cha Dkt Magufuli