Kodi ,ushuru,tozo ni kitu kile kile

Kodi ,ushuru,tozo ni kitu kile kile

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827
Kodi ndio Mfumo upo duniani kote Lakini ushuru na tozo ni kwa mpangilio na makubaliano kati mwananchi na serikali ila kama hakuna makubaliano ni sawa na unyang'anyi hakuna tofauti na kibaka,kodi ndio inatambulika duniani ila siyo tozo na ushuru ,
ukiwa na wabunge wenye emotion wanaamua vitu vingi vyenye mtafaruku kama tozo, mfano muamala ukifanyika kuna charges ile charges serikali itakwenda kuchukua kodi kwenye kampuni husika ,unapochukua tena tozo ni uporaji kama hakuna makubaliano.
 
Back
Top Bottom