Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halmashauri wanakupigia hesabu unaenda kulipa bank na zinaingia kwenye Akaunti ya wizara.Wakuu naomba mnijuze kuhusu hizi kodi za ardhi zinalipiwa wapi kwa sasa maana nikiingia kwenye website ya WIZARA Wana mfumo wa kulipia na huko HALMASHAURI wana utaratibu wao?
Kimeshapimwa tayari ila hati badoKiwanja kimeshapimwa? Umeshapata hati?
Kimeshapimwa tayar ila hati bado
Nimeona kupitia website ya WIZARA tmya ardhiJe ulipata ujumbe wa kukutaka ukalipie?
Unalipia kwa kutumia nini maana Hati huna, Je una leseni ya makazi au?
Asante sanaUnalipia ofisi ya ardhi ya sehemu husika. Ukishapata reference number unalipa hata kwa njia ya simu tu
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Samahani hulipii ofisi ya ardhi, unalipia benki kati ya crdb au nmb pia unaweza kulipa kwa kutumia simu yako ya mkononi. Ila hiyo namba ya malipo (ref number) inatolewa ofisi ya ardhi ya sehemu husika.Asante sana