Annonymous
JF-Expert Member
- May 9, 2013
- 738
- 1,230
Kodi ya ardhi hulipwa serikalini wizara ya ardhi na kodi ya jengo pia hulipwa serikalini kupitia Luku.TANESCO Wanatoza PROPERTY TAX yaani kodi ya jengo...alafu halmashauri wanatoza LAND RENT yaani kodi ya kiwanja...