Osei Tz
Member
- Sep 20, 2018
- 96
- 79
Ukifungua biashara ukienda TRA ili wakokotoe kiasi cha kodi unachopaswa kulipa lazima wakuulize umepanga frem ya bei gan, Ile thaman ya frem kwa mwaka wanakokotoa asilimia ambazo ndio kodi ambayo kimsingi ilibidi ilipwe na mmilik wa frem au Jengo.
Pointi ni kwamba wamilik wa majengo au frem hawajawah na hawana huo utamaduni wa kumrudishia mpangaji ile hela alielipa.
Na wengi wetu tunaokodi hizi frem hua tunakua hatuna idea kama mweny frem anatakiw kulipa kodi kama income tax ambayo kimsingi hua anabebeshwa mpangaji (mjasiliamali).
Matokeo yake wajasiriamali wanaanza kuichukukia TRA kwamba wanawapangia kiasi kikubwa cha kodi ambacho hakilingani na mitaji yao, kumbe kalipishwa had income tax ya baba mweny frem.
Kwa mazingira haya wamiliki wengi wa frem hawalipi kodi kabisa wakati wanapata kipato kikubwa.
Ushauri: TRA iangalie namna ambayo itaondoa hii kero kwa wapangaji wa frem, kila mtu atimize majukum yake ya kulipa kodi, na sio mtu mwingine achukue jukum la mtu mwingine la kumlipia kodi.
Yeyote anaeingiza kipato alipe kodi yeye kama yeye vinginevyo TRA watakua wanakwepa majukumu yao.