yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,662
- 3,715
Yaani ni balaaHahahaa duh! Yani Tsh 200 ndo imenunua umeme! Tuna haki yakumkumbuka JPM na soon Service Charge itarudishwa kwa mwennendo huu ata bwawa la Nyerere pale rufiji likiisha halitakuwa na msaada wowote zaidi bei ya uneme itapanda.
Inaumiza Sana, ila tutafika TU, Hamna namna!Binafsi sina jengo, ila kuna sehemu nimeweka umeme kwa ajili ya kazi zangu. Lakini sio kwenye jengo maana kazi hii nafanya sehemu ya wazi.
Sasa bwana leo nikasema ngoja ninunue umeme wa 2,200 nione kama nitakatwa kodi ya jengo wakati sina jengo.
Sijaamini kilichotokea, umeme wa 2,200 nimepata unit 0.6 kama inavyoonekana hapa chini.
Ushauri: Naishauri serikali kwa kuwa inahitaji hii kodi, isiite kodi ya jengo, iiteni kodi ya Mita ya LUKU. Kuna wengine tuna mita ila hatuna majengo.
TANESCO
View attachment 1900968
kwa mtazamo wangu ilitakiwa system imruhusu mtumiaji aingize namba ya nyumba kwa sababu nyumba moja haiwezi kusajiliwa zaidi ya mara moja.Kuna udhaifu mkubwa sana kwenye hii kodi .. In fact sio kodi ya jengo ni kodi ya meter ni ile service charge imerudi kwa mlango mwingine
Imagine nyumba yenye vyumba vitano na kila chumba kikawa na luku yake maana yake hapo sio 2000 bali ni elfu 10 kwakuwa kila meter itachajiwa
Ndiyo. Ibadilishwe jina, iitwe kodi ya meter.Kuna udhaifu mkubwa sana kwenye hii kodi .. In fact sio kodi ya jengo ni kodi ya meter ni ile service charge imerudi kwa mlango mwingine
Imagine nyumba yenye vyumba vitano na kila chumba kikawa na luku yake maana yake hapo sio 2000 bali ni elfu 10 kwakuwa kila meter itachajiwa
Na kweli zitatukaa sawaNamshauri mama aongeze mwendo mpaka akili zitukae sawa, safi sana [emoji3]
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Point kubwa sana hii ambayo mamlaka haikuizingatiakwa mtazamo wangu ilitakiwa system imruhusu mtumiaji aingize namba ya nyumba kwa sababu nyumba moja haiwezi kusajiliwa zaidi ya mara moja.

Kweli mfano mimi nakaa kwenye appartment tupo familia nane( 8)kwa mtazamo wangu ilitakiwa system imruhusu mtumiaji aingize namba ya nyumba kwa sababu nyumba moja haiwezi kusajiliwa zaidi ya mara moja.
Vipi akili zako unazihifadhigi makalioni?Namshauri mama aongeze mwendo mpaka akili zitukae sawa, safi sana [emoji3]
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app