Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenigusa Mimi exactlyKuna udhaifu mkubwa sana kwenye hii kodi .. In fact sio kodi ya jengo ni kodi ya meter ni ile service charge imerudi kwa mlango mwingine
Imagine nyumba yenye vyumba vitano na kila chumba kikawa na luku yake maana yake hapo sio 2000 bali ni elfu 10 kwakuwa kila meter itachajiwa
Unataka kujua ninapozihifadhi ili iweje? Acha tuisome namba maana watu wakiikosoa serikali kuna waengine wanaleta ushabiki kama wa simba na Yanga wakati wanajua kabisa maisha yakiwa magumu tunaumia wote, sasa mama muacheni aendelee hivi hivi mpaka kielewekeVipi akili zako unazihifadhigi makalioni?
Duh[emoji849][emoji848]Binafsi sina jengo, ila kuna sehemu nimeweka umeme kwa ajili ya kazi zangu. Lakini sio kwenye jengo maana kazi hii nafanya sehemu ya wazi.
Sasa bwana leo nikasema ngoja ninunue umeme wa 2,200 nione kama nitakatwa kodi ya jengo wakati sina jengo.
Sijaamini kilichotokea, umeme wa 2,200 nimepata unit 0.6 kama inavyoonekana hapa chini.
Ushauri: Naishauri serikali kwa kuwa inahitaji hii kodi, isiite kodi ya jengo, iiteni kodi ya Mita ya LUKU. Kuna wengine tuna mita ila hatuna majengo.
TANESCO
View attachment 1900968
Sawa,tumekusikia ushauri wako mzuri sanaSijui nimuandikie like jamhuri ya twita mama[emoji15][emoji15] naona amesahau kwenye visimbuzi navyo,akina Azam, startime, DStv, na vingine,aweke angalau elfu moja kwa mwezi,ili tujenge nchi.
Au Kila mwenye luninga alipe elfu moja kwa. Mwezi tupanue wigo wa ukusanyaji Kodi.
Mwenye namba ya mwigulu au mkuu wa nchi nimtaarifu hii fikra yangu,tafadhali.