Kodi ya Jengo au Kodi ya Mita ya LUKU?

Umenigusa Mimi exactly
 
Vipi akili zako unazihifadhigi makalioni?
Unataka kujua ninapozihifadhi ili iweje? Acha tuisome namba maana watu wakiikosoa serikali kuna waengine wanaleta ushabiki kama wa simba na Yanga wakati wanajua kabisa maisha yakiwa magumu tunaumia wote, sasa mama muacheni aendelee hivi hivi mpaka kieleweke

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Duh[emoji849][emoji848]
 
Kila kukicha maisha ya Watanzania hasa wa hali ya chini yanazidi kufanywa kuwa magumu na wanasiasa, ccm mnaweza, haki mama anaupiga mwingi, hongera mama kweli sura sii roho.
 
Mama kasema huwa hakosei tumpe muda, hali itakuwa nzuri na wote tutafaidi. Mvumilivu hula mbivu. Mimi acha nivumilie tu. Mzee hilo ni jengo ila halina kuta zake ili upate hewa ya kutosha. Kuna makanisa pia hayana kuta za pembeni.
 
Sijui nimuandikie like jamhuri ya twita mama[emoji15][emoji15] naona amesahau kwenye visimbuzi navyo,akina Azam, startime, DStv, na vingine,aweke angalau elfu moja kwa mwezi,ili tujenge nchi.
Au Kila mwenye luninga alipe elfu moja kwa. Mwezi tupanue wigo wa ukusanyaji Kodi.
Mwenye namba ya mwigulu au mkuu wa nchi nimtaarifu hii fikra yangu,tafadhali.
 
Sawa,tumekusikia ushauri wako mzuri sana
Tutalifanyia kazi 😂

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…