Kodi ya kuagiza simu kutoka nje ya nchi

Kodi ya kuagiza simu kutoka nje ya nchi

raia tz

Member
Joined
Nov 21, 2011
Posts
89
Reaction score
16
Wakuu habari, naomba kuuliza nikiagiza simu kutoka nje ya nchi na kusafirishiwa kwa njia ya DHL hadi hapa tanzania, je itabidi nilipe kodi ya TRA? kama ndio ni vigezo gani vinatumika kucalculate hiyo kodi? nasikia DHL wanafanya door delivery so mimi silipii kodi, je jiyo ni sawa?
MY EXPERIENCE: Niliagiza simu kutoka china then DHL wakasema wamenilipia kodi trs (Tsh 40000/=) na hii hela niliwalipa on insteady, je hii ni sawa au niliibiwa hela yangu. Jamani nataka kuagiza simu e-bay so nataka kujua total costs.
 
Cm gan unataka mm np nje ya nchi narudi km baada ya wiki 3 nina sony ericson Xperia ARC ina 8gb,ukubwa wa camera ni 8HD naiuza laki 3,kuna apps kama watsapp,twitter,instargram,viber,skype,djchoka app
 
UPO NCHI GANI? iPhone 5 unaweza kuniletea kwa bei gani
 
Nipo denmark mkuu inawezekana ila bei hipo juu sana,ni sawa na uko ila naweza kuleta galaxy s 2 used kwa laki 4 na nusu km upo serious
 
Cm gan unataka mm np nje ya nchi narudi km baada ya wiki 3 nina sony ericson Xperia ARC ina 8gb,ukubwa wa camera ni 8HD naiuza laki 3,kuna apps kama watsapp,twitter,instargram,viber,skype,djchoka app
...noted.
 
Poa Mkuu, unfortunately i don't use Android!
 
ukiagiza kitu kodi ni 25% import duty na 18% vat

let A the price ya kitu plus shipping
then A X 25%= B
B+A=C
CX18%=G

total kodi G+B

piga hesabu mwenyew hapo then ndio utajua kama uliibiwa au vipi

Wakuu habari, naomba kuuliza nikiagiza simu kutoka nje ya nchi na kusafirishiwa kwa njia ya DHL hadi hapa tanzania, je itabidi nilipe kodi ya TRA? kama ndio ni vigezo gani vinatumika kucalculate hiyo kodi? nasikia DHL wanafanya door delivery so mimi silipii kodi, je jiyo ni sawa?
MY EXPERIENCE: Niliagiza simu kutoka china then DHL wakasema wamenilipia kodi trs (Tsh 40000/=) na hii hela niliwalipa on insteady, je hii ni sawa au niliibiwa hela yangu. Jamani nataka kuagiza simu e-bay so nataka kujua total costs.
 
Poa kaka mm natumia Android na OS ila naipenda android coz hipo simple..
 
Mkuu mimi ni mdau mzuri tu wa kuagiza simu nje through eBay, aliexpress, amazon etc. na huwa znakuja bila kulipia chochote kile! Na mara nyingi zinakuja posta na nyingine DHL.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Mdau nimeona Uzi wako huo naomba unicheki hewani mimi naitwa chami 0655669079
 
Wakuu habari, naomba kuuliza nikiagiza simu kutoka nje ya nchi na kusafirishiwa kwa njia ya DHL hadi hapa tanzania, je itabidi nilipe kodi ya TRA? kama ndio ni vigezo gani vinatumika kucalculate hiyo kodi? nasikia DHL wanafanya door delivery so mimi silipii kodi, je jiyo ni sawa?
MY EXPERIENCE: Niliagiza simu kutoka china then DHL wakasema wamenilipia kodi trs (Tsh 40000/=) na hii hela niliwalipa on insteady, je hii ni sawa au niliibiwa hela yangu. Jamani nataka kuagiza simu e-bay so nataka kujua total costs.
Wakikupa jibu nitag mkuu.
 
Mkuu mimi ni mdau mzuri tu wa kuagiza simu nje through eBay, aliexpress, amazon etc. na huwa znakuja bila kulipia chochote kile! Na mara nyingi zinakuja posta na nyingine DHL.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Unaagizaje mkuu tupe ABCs tafadhali
 
Cm gan unataka mm np nje ya nchi narudi km baada ya wiki 3 nina sony ericson Xperia ARC ina 8gb,ukubwa wa camera ni 8HD naiuza laki 3,kuna apps kama watsapp,twitter,instargram,viber,skype,djchoka app
We jamaa muongo sana.. mwizi kabisa unaonekana
 
Back
Top Bottom