raia tz
Member
- Nov 21, 2011
- 89
- 16
Wakuu habari, naomba kuuliza nikiagiza simu kutoka nje ya nchi na kusafirishiwa kwa njia ya DHL hadi hapa tanzania, je itabidi nilipe kodi ya TRA? kama ndio ni vigezo gani vinatumika kucalculate hiyo kodi? nasikia DHL wanafanya door delivery so mimi silipii kodi, je jiyo ni sawa?
MY EXPERIENCE: Niliagiza simu kutoka china then DHL wakasema wamenilipia kodi trs (Tsh 40000/=) na hii hela niliwalipa on insteady, je hii ni sawa au niliibiwa hela yangu. Jamani nataka kuagiza simu e-bay so nataka kujua total costs.