Cm gan unataka mm np nje ya nchi narudi km baada ya wiki 3 nina sony ericson Xperia ARC ina 8gb,ukubwa wa camera ni 8HD naiuza laki 3,kuna apps kama watsapp,twitter,instargram,viber,skype,djchoka app
...noted.Cm gan unataka mm np nje ya nchi narudi km baada ya wiki 3 nina sony ericson Xperia ARC ina 8gb,ukubwa wa camera ni 8HD naiuza laki 3,kuna apps kama watsapp,twitter,instargram,viber,skype,djchoka app
Nipo denmark mkuu inawezekana ila bei hipo juu sana,ni sawa na uko ila naweza kuleta galaxy s 2 used kwa laki 4 na nusu km upo serious
Wakuu habari, naomba kuuliza nikiagiza simu kutoka nje ya nchi na kusafirishiwa kwa njia ya DHL hadi hapa tanzania, je itabidi nilipe kodi ya TRA? kama ndio ni vigezo gani vinatumika kucalculate hiyo kodi? nasikia DHL wanafanya door delivery so mimi silipii kodi, je jiyo ni sawa?
MY EXPERIENCE: Niliagiza simu kutoka china then DHL wakasema wamenilipia kodi trs (Tsh 40000/=) na hii hela niliwalipa on insteady, je hii ni sawa au niliibiwa hela yangu. Jamani nataka kuagiza simu e-bay so nataka kujua total costs.
Mdau nimeona Uzi wako huo naomba unicheki hewani mimi naitwa chami 0655669079Mkuu mimi ni mdau mzuri tu wa kuagiza simu nje through eBay, aliexpress, amazon etc. na huwa znakuja bila kulipia chochote kile! Na mara nyingi zinakuja posta na nyingine DHL.
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Wakikupa jibu nitag mkuu.Wakuu habari, naomba kuuliza nikiagiza simu kutoka nje ya nchi na kusafirishiwa kwa njia ya DHL hadi hapa tanzania, je itabidi nilipe kodi ya TRA? kama ndio ni vigezo gani vinatumika kucalculate hiyo kodi? nasikia DHL wanafanya door delivery so mimi silipii kodi, je jiyo ni sawa?
MY EXPERIENCE: Niliagiza simu kutoka china then DHL wakasema wamenilipia kodi trs (Tsh 40000/=) na hii hela niliwalipa on insteady, je hii ni sawa au niliibiwa hela yangu. Jamani nataka kuagiza simu e-bay so nataka kujua total costs.
Unaagizaje mkuu tupe ABCs tafadhaliMkuu mimi ni mdau mzuri tu wa kuagiza simu nje through eBay, aliexpress, amazon etc. na huwa znakuja bila kulipia chochote kile! Na mara nyingi zinakuja posta na nyingine DHL.
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
We jamaa muongo sana.. mwizi kabisa unaonekanaCm gan unataka mm np nje ya nchi narudi km baada ya wiki 3 nina sony ericson Xperia ARC ina 8gb,ukubwa wa camera ni 8HD naiuza laki 3,kuna apps kama watsapp,twitter,instargram,viber,skype,djchoka app
we naye thread ya 2013 hii acha kukurupukaWe jamaa muongo sana.. mwizi kabisa unaonekana
Ndo nilikua natoka kuamka...we naye thread ya 2013 hii acha kukurupuka
pole mkuuNdo nilikua natoka kuamka...
Asantepole mkuu