Kodi ya kunyoa kiduku ni shilingi ngapi?

Kodi ya kunyoa kiduku ni shilingi ngapi?

Chogotz

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Posts
236
Reaction score
105
Wakuu,

Ninahitaji kunyoa kiduku na kuvaa mlege sasa sijajua kodi zake ni kiasi gani na malipo hufanyikia wapi? TRA au? Na risiti nitapata kweli?
 
Faini yake haina risiti kila utakapokamatwa utatakiwa ulipe
---------
Updates
Mkuu acha ujinga thread gani hii umeweka
 
UKIKIMATWA NA POLISI KESI ZOTE ZAKO.ALAFU KUNYOLEWA BUR KITUONI
 
Wakuu,

Ninahitaji kunyoa kiduku na kuvaa mlege sasa sijajua kodi zake ni kiasi gani na malipo hufanyikia wapi? TRA au? Na risiti nitapata kweli?
mada hii inathibitisha mada ya siku nyingi kuwa

MAZUNGUMZO YA VIJANA WA KITANZANIA 90% NI PUMBA
 
Back
Top Bottom