Research Solutions TZ
Member
- Jul 11, 2020
- 66
- 145
Hivi karibuni kumekwa na mjadala kuhusu washereheshaji, wapishi na kadhalika kulipa kodi kama ambavyo imeelekezwa kwenye document ya Halmashauri ya Sengerema huko Mwanza.
Nimeangalia kwa ukaribu na nimekuja na mawazo ya kuweza kufanya hiyo kitu iwe na mafanikio ambapo kwanza inabidi kujua kama mtu husika amelipwa au hajalipwa, kwa kuwa mtu unaweza kumfuata akasema yeye hao ni ndogu zake amewasheheshea bure au amelipwa elf 20.
Hivyo ni muhimu ma-dj, ma-mc wapishi nk katika kundi hilo kusajiliwa na kuwa na mfumo utakaoweza kuwa tracked kwenye mambo ya malipo, ia kuwe na mfumo wa risiti za mashine wanapokuwa wanatoa huduma husika.
Ili kubana zaidi mtu ambaye hatasajiliwa asiruhusiwe kufanya shughuli hizo iwe kwa kujitolea au vinginevyo, hapa itakuwa imewabana haswa na itakuwa rahisi kujua kuwa Mc fulani leo ana kazi sehemu fulani na amelipwa kiasi fulani ili atoe elf 30 ya kodi.
Kama nilivyosema ili lisibaki kuwa tamko tu, ni lazima kwanza wanaotoa huduma hizo wasajiliwe, au mambo hayo yawe kwenye makampuni ili iwe rahisi kupata malipo.
Hence solved.
Naenda kutafuta another Mathematical Equation