Wahusika washtakiwe Ili wakaeleze hayo court,Ilikuwa ni crush project ya kukusanya hela ya kutimiza missio flani ya ku finance kuondoka kwa watu fulani bila kujulikana
Na hii imekaajeee? Unit 28 mpaka unit 22
View attachment 3062571
Kwa hiyo kama nmewekewa umeme mwezi wa kumi nalipa kuanzia mwezi wa saba nane na tisa?Wabongo wazito kuelewa,Tanesco walishatolea maelekezo.Kipindi mfumo wa kodi za majengo unaingizwa kwenye manunuzi ya umeme,baadhi ya mita nyingi zilichelewa kuunganishwa toka mwaka mpya wa serikali,hivyo madeni yote kulipwa mwaka mpya wa serikali,Na si unavyodai kuwa imeondolewa kinyemela,.
Mimi nimevuta umeme na miez kama sita iv na mimi Nipo kwenye hilo den ama?Wabongo wazito kuelewa,Tanesco walishatolea maelekezo.Kipindi mfumo wa kodi za majengo unaingizwa kwenye manunuzi ya umeme,baadhi ya mita nyingi zilichelewa kuunganishwa toka mwaka mpya wa serikali,hivyo madeni yote kulipwa mwaka mpya wa serikali,Na si unavyodai kuwa imeondolewa kinyemela,.
Mbona mimi mwezi huu nimekatwa sh 2000?Salaam, Shalom!!
Lile ongezeko la TSH 500 lililoletwa kinyemela miezi miwili iliyopita, imeondolewa kinyemela kimya kimya bila taarifa yoyote.
Ikumbukwe kuwa, ongezeko hili halikuletwa kupitia Utaratibu wowote kisheria, baada ya kelele na malalamiko mengi Toka Kwa wananchi, imeondolewa bila ufafanuzi wowote.
Hapa ndipo tulipofikia kama nchi, kundi au viongozi kadhaa kwenye Taasisi au wizara za Serikali kumbe wanaweza kuongeza Kodi yoyote watakavyo na wasihojiwe na yoyote bila hatua yoyote kuchukuliwa dhidi Yao.
Tunahitaji majibu sahihi.
Karibuni 🙏
Huu ni wizi mkubwa nimeuona na unakatiha tamaa!Na hii imekaajeee? Unit 28 mpaka unit 22
View attachment 3062571
Niko hapa napitia comments za mazombie mpaka nashangaa. Eti lililetwa kinyemela na kuondolewa kinyemela! Watanzania tuna mtindio wa ubongo! Hiki kitu kilielezwa kabisa na wakasema ni mwezi mmoja tu! Kizazi hiki cha malalamiko sijui kitaisha lini?Wabongo wazito kuelewa,Tanesco walishatolea maelekezo.Kipindi mfumo wa kodi za majengo unaingizwa kwenye manunuzi ya umeme,baadhi ya mita nyingi zilichelewa kuunganishwa toka mwaka mpya wa serikali,hivyo madeni yote kulipwa mwaka mpya wa serikali,Na si unavyodai kuwa imeondolewa kinyemela,.