Upo sahihiKwa ujumla wake tu kodi ya majengo ni wizi. Maana umenunua ardhi kwa hela yako, umenunua vifaa vya ujenzi kwa hela yako (na hivyo vifaa tayari vimeshatozwa kodi za kila aina), unajenga nyumba kwa hela yako!
Sasa kwa nini ulipe tena kodi ya majengo kila mwezi!! Huu ni wizi.
Kama serikali inapenda kutoza kodi za majengo, ijenge nyumba zake na kuwapangusha watu. Ila siyo kuibiana mchana kweupe kupitia hizi sheria zao za kipuuzi.
... Kaghorofa amesema.
... kiswahili, ghorofa ni ishara ya ukwasi.wakadiria kodi wote ni fofofo kama ndio hivi wanafanya. Gorofa maana yake ni ku-save nafasi, sasa kwa nini wenye gorofa walipe juu zaidi ukilinganisha na tambarare?
... duh! Kwamba maskini ndio huporomosha maghorofa? Vyovyote vile, kwa mtazamo wa kitanzania hakuna maskini mwenye ghorofa ingawa ni kweli kwamba sio kila tajiri ana ghorofa.Umeandika kweli tupu.Matajiri wengi hawajengi ghorofa,nyumba ya kuishi.Wanapenda nyumba za chini ns za uhakika.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kigezo kikubwa tunachotumia wakadiria majengo ni ngazi, Kama kwenda kulala usiku lazima upande ngazi basi lazima 15 inakuhusu mkuu. Hata Kama unalala juu ya kontena chief.
Uprofesa udaktari nchi hizi havina maana ya taaluma tena, ndio maana wengine wanajiita machawa. Hukumuona yule elihenyeshwa na kijana mdogo mahakamani mpaka aksema po?Na wanaohusika na ukadiriaji wa Kodi za majengo ni wasomi tena wengine ni maprofesa
Huo ni ushmba na uzamani, primitivity... kiswahili, ghorofa ni ishara ya ukwasi.