Pio Gama Pinto
JF-Expert Member
- Jul 15, 2022
- 285
- 251
15 inahusika hapo
Kwa ujumla wake tu kodi ya majengo ni wizi. Maana umenunua ardhi kwa hela yako, umenunua vifaa vya ujenzi kwa hela yako (na hivyo vifaa tayari vimeshatozwa kodi za kila aina), unajenga nyumba kwa hela yako!
Sasa kwa nini ulipe tena kodi ya majengo kila mwezi!! Huu ni wizi.
Kama serikali inapenda kutoza kodi za majengo, ijenge nyumba zake nchi nzima na kuwapangisha watu wenye uhitaji. Ila siyo kuibiana mchana kweupe kupitia hizi sheria zao za kipuuzi.
Haya machungu unayo pitia ni majibu ya wabunge walio ingia bungeni kwa wizi wa kura. Badala ya bunge kuisimamia serikali wamekuwa watetezi wa chama cha mapinduzi na serikali yakeKwa ujumla wake tu kodi ya majengo ni wizi. Maana umenunua ardhi kwa hela yako, umenunua vifaa vya ujenzi kwa hela yako (na hivyo vifaa tayari vimeshatozwa kodi za kila aina), unajenga nyumba kwa hela yako!
Sasa kwa nini ulipe tena kodi ya majengo kila mwezi!! Huu ni wizi.
Kama serikali inapenda kutoza kodi za majengo, ijenge nyumba zake nchi nzima na kuwapangisha watu wenye uhitaji. Ila siyo kuibiana mchana kweupe kupitia hizi sheria zao za kipuuzi.
Hii nchi kila mtu analialia sasa kodi alipe nani , we umetaka ghorofa taratibu ndio hizo zifuateMimi nina Kajumba kangu huku uswahilini, kwa sababu ya ufinyu wa eneo nilijiongeza nikawekwa kaghorofa. Sasa serikali inanitaka nilipe elfu 15 kila mwezi. Yupo jirani yangu aliwanunua watu na kupata eneo kubwa, kuliwekea Uzio na kushusha mjengo wa kisasa wa nguvu.
Thamani ya jengo la jirani inaweza kuwa mara tano ya kaghorofa kangu, yeye atakuwa analipa buku jero kwa mwezi!
Sasa nawauliza hawa wataalam wetu wa kodi wametumia kigezo gani cha kutuadhibu wenye ghorofa? Kujenga ghorofa ni ishara ya utajiri na nyumba ya chini ni umaskini?
Nina mashaka na mfumo wa elimu wetu, huenda unazalisha wajinga zaidi
Kodi hii (Property Tax) anayehusika kulipa ni mmilikaji wa jengo na wala si mpangaji. Sasa iweje serikali imtoze mpangaji kupitia malipo ya LUKU? Sheria inaruhusu? Kwanini isimkabe huyo mwenye mali?
Tatizo la maskini ni roho mbaya, hata mbinguni hamtakaribishwaHii nchi kila mtu analialia sasa kodi alipe nani , we umetaka ghorofa taratibu ndio hizo zifuate
Jamaa ana kitu huyu asipuuzweKwa ujumla wake tu kodi ya majengo ni wizi. Maana umenunua ardhi kwa hela yako, umenunua vifaa vya ujenzi kwa hela yako (na hivyo vifaa tayari vimeshatozwa kodi za kila aina), unajenga nyumba kwa hela yako!
Sasa kwa nini ulipe tena kodi ya majengo kila mwezi!! Huu ni wizi.
Kama serikali inapenda kutoza kodi za majengo, ijenge nyumba zake nchi nzima na kuwapangisha watu wenye uhitaji. Ila siyo kuibiana mchana kweupe kupitia hizi sheria zao za kipuuzi.
KWA CCM HII UTALIPA UTAKE AU USITAKE NA KAMA HUTAKI BEBA GHOROFA LAKO PELEKA BURUNDIMimi nina Kajumba kangu huku uswahilini, kwa sababu ya ufinyu wa eneo nilijiongeza nikawekwa kaghorofa. Sasa serikali inanitaka nilipe elfu 15 kila mwezi. Yupo jirani yangu aliwanunua watu na kupata eneo kubwa, kuliwekea Uzio na kushusha mjengo wa kisasa wa nguvu.
Thamani ya jengo la jirani inaweza kuwa mara tano ya kaghorofa kangu, yeye atakuwa analipa buku jero kwa mwezi!
Sasa nawauliza hawa wataalam wetu wa kodi wametumia kigezo gani cha kutuadhibu wenye ghorofa? Kujenga ghorofa ni ishara ya utajiri na nyumba ya chini ni umaskini?
Nina mashaka na mfumo wa elimu wetu, huenda unazalisha wajinga zaidi
Kuna kitu labda haujakielewa sababu serikali haijakiweka wazi. Ni hivi, wewe mwenye kaghorofa unalipishwa zaidi sababu una access ya kuwaona jirani zako bure wakiwa wanaoga/wanajisaidia au kwenye faragha zao nyingine nje pasipo na paa.Mimi nina Kajumba kangu huku uswahilini, kwa sababu ya ufinyu wa eneo nilijiongeza nikawekwa kaghorofa. Sasa serikali inanitaka nilipe elfu 15 kila mwezi. Yupo jirani yangu aliwanunua watu na kupata eneo kubwa, kuliwekea Uzio na kushusha mjengo wa kisasa wa nguvu.
Thamani ya jengo la jirani inaweza kuwa mara tano ya kaghorofa kangu, yeye atakuwa analipa buku jero kwa mwezi!
Sasa nawauliza hawa wataalam wetu wa kodi wametumia kigezo gani cha kutuadhibu wenye ghorofa? Kujenga ghorofa ni ishara ya utajiri na nyumba ya chini ni umaskini?
Nina mashaka na mfumo wa elimu wetu, huenda unazalisha wajinga zaidi
Kwa mfumo wetu wa Tanzania mtu kuwa tajiri ni dhambi si sawa. Utakuja kiongozi anajinadi mimi n mtoto wa masikini inabidi wabadirike. Kuhusu maprofesa ile kesi ya madini imeonyesha nao ni weupe tu vichwani.Na wanaohusika na ukadiriaji wa Kodi za majengo ni wasomi tena wengine ni maprofesa
Hakunaga kaghorofa, ghorofa ni ghorofa tu... Kaghorofa amesema.
sheria zipo na hazijafutwa sema PhD feki za uchumi ndio zinatusumbuaMimi nina Kajumba kangu huku uswahilini, kwa sababu ya ufinyu wa eneo nilijiongeza nikawekwa kaghorofa. Sasa serikali inanitaka nilipe elfu 15 kila mwezi. Yupo jirani yangu aliwanunua watu na kupata eneo kubwa, kuliwekea Uzio na kushusha mjengo wa kisasa wa nguvu.
Thamani ya jengo la jirani inaweza kuwa mara tano ya kaghorofa kangu, yeye atakuwa analipa buku jero kwa mwezi!
Sasa nawauliza hawa wataalam wetu wa kodi wametumia kigezo gani cha kutuadhibu wenye ghorofa? Kujenga ghorofa ni ishara ya utajiri na nyumba ya chini ni umaskini?
Nina mashaka na mfumo wa elimu wetu, huenda unazalisha wajinga zaidi
Mkuu hawa watawala walishatufanya mazuzu, wamehamisha tozo ya miamala wakaileta kwenye kodi ya majengo. Tusubiri kodi zingine zaidi kwa hasira za kukataliwa mission yao ya DP WorldMimi nina Kajumba kangu huku uswahilini, kwa sababu ya ufinyu wa eneo nilijiongeza nikawekwa kaghorofa. Sasa serikali inanitaka nilipe elfu 15 kila mwezi. Yupo jirani yangu aliwanunua watu na kupata eneo kubwa, kuliwekea Uzio na kushusha mjengo wa kisasa wa nguvu.
Thamani ya jengo la jirani inaweza kuwa mara tano ya kaghorofa kangu, yeye atakuwa analipa buku jero kwa mwezi!
Sasa nawauliza hawa wataalam wetu wa kodi wametumia kigezo gani cha kutuadhibu wenye ghorofa? Kujenga ghorofa ni ishara ya utajiri na nyumba ya chini ni umaskini?
Nina mashaka na mfumo wa elimu wetu, huenda unazalisha wajinga zaidi
Umenena vyema 🤝Tatizo la maskini ni roho mbaya, hata mbinguni hamtakaribishwa