Kodi ya Matangazo (mabango) ikoje

mamakibunju

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2013
Posts
1,009
Reaction score
221
Jamani me nauliza kodi ya kuweka bango la biashara juu ya paa la nyumba ni kiasi gani? Me nina bango langu ambalo dogo kiasi, sasa wamekuja wale watu wa jiji wananiambia natakiwa kulipia 250,000 hiyo ni pamoja na fine! Je kwani haya mabango juu ya nyumba ni kiasi gani kwa mwaka na hiyo penalty unalipaje?
 
hata napenda kujua hii kitu....kwan nasikia mara wanapima ukubwa wa msandishi!!! hebu mwenye xperience atusaidie wamdugu
 
Huu nao ni.mradi wa watu. Make sijaona hiyo kodi ya bango ina kazi gani. . Bango linaweza kuibiwa n.k.

Labda mie ndio sielewi maana ya hiyo kodi lakn sijaona kazi yake!
 
Hii sheria ni kandamizi. Bango kukaa barabarani ni sawa kabisa kulipiwa maana ile ni public place ila kuweka kwenye nyumba yangu mwenyewe ambayo ninailipia kodi ya majengo huo ni wizi kabisa. Umefika wakati wa kukataa udhalimu huu.


Sent from my iPad using JamiiForums
 


Yaani me wamenipa week moja wanakuja kulichukua hvyo napanga mpango nilitoe kabla awajaja kwakukwa uwezi wa kuwapa hiyo pesa sina, biashara yenyewe ya kuungaunga, yaani sielewi kwa jini nchi yangu inawakandamiza wafanyabiashara wadogo wadogo....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…