mamakibunju
JF-Expert Member
- Dec 28, 2013
- 1,009
- 221
Jamani me nauliza kodi ya kuweka bango la biashara juu ya paa la nyumba ni kiasi gani? Me nina bango langu ambalo dogo kiasi, sasa wamekuja wale watu wa jiji wananiambia natakiwa kulipia 250,000 hiyo ni pamoja na fine! Je kwani haya mabango juu ya nyumba ni kiasi gani kwa mwaka na hiyo penalty unalipaje?