Ni kama ile ya mzazi aliye na mtoto boarding school kutumiwa message ya hivyo kuwa mwanawe kazidiwa anafaa atume kiasi fulani cha pesa.Halafu mtuma ujumbe anajitambulisha kama mwalimu.Shida ni kwamba meseji imeingia nayeye yupo kwenye pirika za kupeleka hiyo pesa, kwa haraka haraka unaweza kuchanganyikiwa