Peter Madukwa
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 3,139
- 2,488
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiufupi Hapa
anaekwenda kuumia Ni mpangaji,
wenye nyumba watasema
"hizo tozo zenu hazinihusu, Mimi Kodi yangu Ni ile Ile" Huwezi Hama, [emoji3525].
Hii ni ya Kiwanja.Ina Maana
Kodi ya majengo tunayokatwa kwenye luku iko tofauti na hi
Ndio kitu kinafuata hichoKiufupi Hapa
anaekwenda kuumia Ni mpangaji,
wenye nyumba watasema
"hizo tozo zenu hazinihusu, Mimi Kodi yangu Ni ile Ile" Huwezi Hama, [emoji3525].
Hii ni hatari sana sanaJana nilikuwa na mshkaji wangu anaitwa Mjivuni ukimuona kama chizi hivi lakini ni mtu anayeongea point strong na kujenga hoja nzito sema tu ndo vile maisha yamempiga...2014 aliwahi kunambia hii nchi mpaka watu wapasuane ndio tutaheshimiana,jana kanikumbushia hili kanambia nchi zenye watu wenye akili timamu hawawezi kuburuzwa kama mifugo na wakakaa kimya nakubaliana na yeye kabisa
Hakuna kodi inayoitwa ya kiwanja, kuna kodi ya ardhi ambayo inakusanywa na wizara ya ardhi na ni kwa kiwanja kilichopimwa tu.halafu hiyo inayolipiwa kuoitia luku ni kodi ya majengo(property tax) hii tena ni kidi ya zuio(withholding tax)ni 10% ya kodi ya upangishaji anatakiwa kulipa mwenye nyumba kupitia kwa mpangaji.Hii ni ya Kiwanja.
Jenga yako mkuu maana kuna kodi mbili analipa mwenye nyumba moja ni ardhi nyingine nu majengo, sasa hii nyingine hapanaSerikali itoe tamko kuhusu wenye nyumba kuongeza kodi ya nyumba kutokana na uamzi huu. Ni marufuku kupandisha bei, la sivyo tutaumia sisi wapangaji wakati nyie fahari wawili mkipigana.
Vinginevyo ni uamzi mzuri mno. Binafsi ilikuwa haingii akilini kuona mwenye nyumba anapokea kitita chote bila kukatwa kodi.
Japo kwakweli chonde chonde Serikali na watu wako, tumia hizi pesa zetu vizuri kwa nidhamu kubwa, kinyume na hapo machozi yetu yatawang'oa kwenye hivyo viti. Narudia tena, tunataka tuone maendeleo kutokana na tozo zote hizo, NIMEMALIZA.