Mwanza kwetu pia Senior Member Joined May 25, 2021 Posts 104 Reaction score 151 Oct 25, 2021 #1 Habari za asubuhi nyote, Sina mengi ila nauliza ushuru wa pikipiki ni kiasi gani bandarini Kama ntasafirisha pikipiki toka China kwa gharama za ununuzi pamoja na usafiri kwa pamoja zimegota milioni 3 hadi kufika bandarini. Asanteni [emoji120]
Habari za asubuhi nyote, Sina mengi ila nauliza ushuru wa pikipiki ni kiasi gani bandarini Kama ntasafirisha pikipiki toka China kwa gharama za ununuzi pamoja na usafiri kwa pamoja zimegota milioni 3 hadi kufika bandarini. Asanteni [emoji120]
darcity JF-Expert Member Joined Jul 20, 2009 Posts 9,101 Reaction score 18,055 Jun 19, 2022 #2 I have the same wakuu. Ushuru wa kuingiza pikipiki ni kiasi gani?