Kodi ya pikipiki kwa bandarini ni asilimia ngapi?

Kodi ya pikipiki kwa bandarini ni asilimia ngapi?

Mwanza kwetu pia

Senior Member
Joined
May 25, 2021
Posts
104
Reaction score
151
Habari za asubuhi nyote, Sina mengi ila nauliza ushuru wa pikipiki ni kiasi gani bandarini Kama ntasafirisha pikipiki toka China kwa gharama za ununuzi pamoja na usafiri kwa pamoja zimegota milioni 3 hadi kufika bandarini.

Asanteni [emoji120]
 
I have the same wakuu. Ushuru wa kuingiza pikipiki ni kiasi gani?
 
Back
Top Bottom