MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 5,736
- 18,648
Mama kaomba mkopo wa sh ngapi juzi hapa hadi akapewa terms za kutangaza wagonjwa wa Corona?Yule mpuuzi alikua anakopa kila siku arafu anatupiga saundi eti hela yetu ya ndani, aliingia deni la taifa ilikuzidi $35b katuachia ndani ya miaka mitano zaidi $ 60bn.