Kodi za magari ukinunua kutoka kwenye NGO zikoje?

Kodi za magari ukinunua kutoka kwenye NGO zikoje?

Metallic

Member
Joined
Aug 14, 2009
Posts
57
Reaction score
6
Wakuu nataka kununua gari kutoka NGO moja hapa nchini. Lakini hili gari halikulipiwa kodi wakati linaingizwa nchini ila lilisajiliwa kwa namba za kiraia. Nikitaka kulimiliki natakiwa kulipa kodi kiasi gani? magari kama haya huwa wanalipa BIMA na Motor vehicle?
gari lenyewe ni Discovery II, V8 PETROL, 2003 MODEL, IMPORTED IN 2013.
 
Back
Top Bottom